LONDON, UingerezaMIAKA 10 iliyopita, Leicester City waliishangaza dunia walipotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) mbele ya vigogo Manchester United, Arsenal, Chelsea, Liverpool na Manchester City.
Kwa sasa, Leicester...
RIPOTA PANORAMAMoshi
Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Makore Kisare akikata utepe kuashiria ufunguzi wa jengo jipya la utoaji huduma kwa wagonjwa wa nje (OPD) kwenye...
TERESIA MHAGAMA NA GODFREY LULINGANAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko amewasha mitambo ya kusambaza umeme katika vijiji vya Mubaba na Nyantakara...
RIPOTA PANORAMA
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Omary Mchengerwa ndiye aliyetokomea na gari la kisasa...
*Jaji Mutungi atajwa kuibeba kwa vitendo falsafa ya R4 za Rais Samia
RIPOTA PANORAMA
OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa imefungua ukurasa mpya wa mwenendo wa majadiliano...
RIPOTA PANORAMA
RAIS Samia Suluhu Hasaan amewataka Watanzania watambue kuwa duniani kuna nchi Moja tu inayoitwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo ni Taifa huru.
Amesema...
Na Jacquiline Mrisho - MAELEZO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameitaka Afrika kwa pamoja kuanza safari...