Uncategorized

EMERY APANGA KUIBOMOA BARCELONA

LONDON, Uingereza KOCHA wa Aston Villa, Unai Emery, anaitaka saini ya beki wa Barcelona, Alejandro Balde, na amewaambia mabosi wake waandae kitita cha Pauni milioni 43. Beki huyo wa kushoto amewahi...

BAYERN YAMKODOLEA MACHO KIUNGO WA TOTTENHAM

LONDON, Uingereza BAYERN Munich inampigia hesabu za karibu kiungo wa Tottenham na timu ya Taifa ya Senegal, Pape Matar...

RIPOTI: IDADI YA WAHAMIAJI ULAYA IMEVUNJA REKODI, UJERUMANI INAONGOZA

LONDON, UingerezaRIPOTI mpya imeonesha kuwa Ulaya nchi za Ulaya zlipokea wahamiaji milioni 64 mwaka 2025, likiwa ni ongezeko...

RAIS WA TAIWAN ASITISHA ZIARA YAKE AFRIKA, CHINA IKITAJWA KUWA CHANZO

TAIPEI, TaiwanRAIS wa Taiwan, Lai Ching-te, ameahirisha ziara yake nchini Eswatini, huku akiitaja China kuwa ndiyo chanzo cha...

USIYOYAJUA KUHUSU ZIARA YA PAPA LEO BARANI AFRIKA

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, yuko barani Afrika kwa ziara ya siku 10 katika mataifa...
spot_img

BANGI NYUMBANI KWA KAMISHNA NYAMKA MTIHANI MGUMU KWA POLISI

Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Kipolisi Kinondoni (RPC) Ramadhani Kingai (aliyesimama mbele)MWANDISHI WA PANORAMA KUNA utata wa namna Jeshi la Polisi, Mkoa wa Kipolisi...

POLISI ANAYETESA WAKULIMA KIJIJI CHA IYALA MUONGO

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya (RPC) Irlich Matei MWANDISHI WA PANORAMA ASKARI Polisi Endeni Mgonja wa Kituo cha Polisi Chimara, Mbeya, ambaye ushahidi...

NDOTO YA SIMBA LIGI YA MABINGWA AFRIKA IMEFIFIA LAKINI HAIJAZIMA

DUKULE INJENI Mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Simba, wanarudi nchini wakihitaji hesabu kali ya kuhakikisha wanapindua matokeo katika mchezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa...

ARI YA SIMBA KUWEKA MGUU MMOJA NUSU FAINALI IPO JUU

 NA DUKULE INJENI    SIMBA                              v/s                          KAIZER CHIEFS                               TAIFA WANALOTOKA ...

UNYAMA WA POLISI MBEYA

 Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya (RPC), Urlich MateiMWANDISHI WA PANORAMA ASKARI Polisi, Endeni Mgonja wa Kituo cha Polisi Chimara, Mbeya, anadaiwa kupora...

RAIS SAMIA KURA YA TURUFU YA CCM CHAGUZI NDOGO ZA BUHIGWE, MUHAMBWE

 Rais Samia Suluhu Hassan CHARLES MULLINDA RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ni kura...
spot_img