Uncategorized

EMERY APANGA KUIBOMOA BARCELONA

LONDON, Uingereza KOCHA wa Aston Villa, Unai Emery, anaitaka saini ya beki wa Barcelona, Alejandro Balde, na amewaambia mabosi wake waandae kitita cha Pauni milioni 43. Beki huyo wa kushoto amewahi...

BAYERN YAMKODOLEA MACHO KIUNGO WA TOTTENHAM

LONDON, Uingereza BAYERN Munich inampigia hesabu za karibu kiungo wa Tottenham na timu ya Taifa ya Senegal, Pape Matar...

RIPOTI: IDADI YA WAHAMIAJI ULAYA IMEVUNJA REKODI, UJERUMANI INAONGOZA

LONDON, UingerezaRIPOTI mpya imeonesha kuwa Ulaya nchi za Ulaya zlipokea wahamiaji milioni 64 mwaka 2025, likiwa ni ongezeko...

RAIS WA TAIWAN ASITISHA ZIARA YAKE AFRIKA, CHINA IKITAJWA KUWA CHANZO

TAIPEI, TaiwanRAIS wa Taiwan, Lai Ching-te, ameahirisha ziara yake nchini Eswatini, huku akiitaja China kuwa ndiyo chanzo cha...

USIYOYAJUA KUHUSU ZIARA YA PAPA LEO BARANI AFRIKA

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, yuko barani Afrika kwa ziara ya siku 10 katika mataifa...
spot_img

MKANDARASI ADAIWA KUMSINGIZIA MAREHEMU DENI LA MISHAHARA

Baadhhi ya mafundi na vibarua wa Kampuni ya Pomy Engeneering waliokuwa wakifanya kazi ya kujenga miundombinu ya umeme kupitia miradi ya Wakala wa Umeme...

TANESCO BUHIGWE YAWAWEKA SAWA MAFUNDI MIRADI YA REA

 Moja ya vifaa chenye nembo ya Tanesco kilichosimikwa katika barabara iliyopo Wilaya ya Buhigwe ambayo miundombinu ya umeme imejengwa na mkandarasi aliyepewa zabuni na...

MOSHI MWEUSI MIRADI YA REA BUHIGWE

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Hassan Saidy  RIPOTA PANORAMA 0711 46 49 84 KUNA utata mkubwa kuhusu utaratibu wa utekelezaji miradi...

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA VIJANA WA DUNIA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa MWANDISHI WA WAZIRI MKUU   WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye jukwaa la nne la vijana...

ANAYETUHUMIWA KUTAPELI WAKULIMA AIBUKA

  RIPOTA PANORAMA 0711 46 49 84 MFANYABIASHARA Hiten Parik, ameibuka na kuzungumzia tuhuma anazoelekezewa. Parik alifanya mahojiano na Tanzania PANORAMA Blog mwishoni mwa...

MSAJILI HAZINA ASISITIZA MATUMIZI YA MIFUMO KWA TAASISI, WAKALA NA MASHIRIKA

Mkurugenzi wa Uwekezaji katika Ofisi ya Msajili wa Hazina, Lightness Mauki (kulia) akimsindikiza Msajili wa Hazina, Mgonya Benedicto baada ya kufungua kikao kazi...
spot_img