Uncategorized

KIFO CHA BOSI KINAVYOITESA LEICESTER CITY

LONDON, UingerezaMIAKA 10 iliyopita, Leicester City waliishangaza dunia walipotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) mbele ya vigogo Manchester United, Arsenal, Chelsea, Liverpool na Manchester City. Kwa sasa, Leicester...

ISHU YA RASHFORD BADO PASUA KICHWA

MANCHESTER, UingerezaKOCHA wa Manchester United, Michael Carrick, amesema bado haijafahamika kama Marcus Rashford atarudi klabuni hapo au atabaki...

BARCA YAPATA MRITHI WA LEWANDOWSKI

CATALUNYA, HispaniaKLABU ya Barcelona imeanza mipango ya kumsajili mshambuliaji wa kati wa Real Mallorca, Vedat Muriqi, ikiamini anatosha...

ARSENAL AKILI YOTE KWA MONGA

LONDON, UingerezaARSENAL ya Kaskazini mwa Jiji la London imeonesha nia ya kumsajili winga anayefanya vizuri Ligi Daraja la...

NEWCASTLE KUMUUZA MSHAMBULIAJI WA BEI MBAYA

LONDON, UingerezaKLABU ya Newcastle United itampiga bei straika raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Yoane Wissa,...
spot_img

Mnijeria wa Simba aeleza kwanini hachezi

WAKATI mashabiki wa Simba wakijiuliza kuliko kwa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Nelson Okwa kutocheza kwenye kikosi cha sasa, mwenyewe amevunja ukimya na kuanika...

Neymar kwenye hatihati ya kulikosa Kombe la Dunia

Mchezaji wa kimataifa wa Brazil, Neymar, yuko kwenye hatikati ya kuikosa michuano ya Kombe la Dunia inayotarajiwa kuanza mwezi ujao nchini Qatar, kufuatia kuibuka...

Fahamu historia ya shutuma dhidi ya msanii R. Kelly

Mwimbaji wa Marekani R. Kelly amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kutumia hadhi yake kuendesha mpango wa kuwadhalilisha kingono watoto na wanawake. Mnamo Septemba,...

Mashindano ya mbuzi kusaidia jamii

KIASI cha Sh milioni 70 kitatumika kuboresha huduma za elimu kwa kujenga miundombinu kama vyoo na ukarabati wa madarasa Mkoa wa Dar es Salaam. Akizungumza...

Msimu wa 13 BSS wazinduliwa Dar

MASHINDANO ya kusaka vipaji yajulikanayo kama Bongo Star Search (BSS), msimu wa 13 yalizinduliwa rasmi usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam. Akizungumza wakati...

Filamu tatu za Tanzania zachomoza kimataifa

Filamu tatu za Tanzania zimepata nafasi kuoneshwa kwenye mtandao wa kimataifa wa kuonyesha filamu wa Netflix. Hayo yamesemwa na Meneja Mipango na Masoko kutoka Bodi...
spot_img