Friday, 9 October 2026

Neymar kwenye hatihati ya kulikosa Kombe la Dunia

Mchezaji wa kimataifa wa Brazil, Neymar, yuko kwenye hatikati ya kuikosa michuano ya Kombe la Dunia inayotarajiwa kuanza mwezi ujao nchini Qatar, kufuatia kuibuka kwa ombi la kutaka mshambuliaji huyo kukamatwa na kuwekwa ndani kutokana na tuhuma zinazomkabili za udanganyifu. Tazama video kwa maelezo zaidi About The Author admin See author's posts

Mchezaji wa kimataifa wa Brazil, Neymar, yuko kwenye hatikati ya kuikosa michuano ya Kombe la Dunia inayotarajiwa kuanza mwezi ujao nchini Qatar, kufuatia kuibuka kwa ombi la kutaka mshambuliaji huyo kukamatwa na kuwekwa ndani kutokana na tuhuma zinazomkabili za udanganyifu.

Tazama video kwa maelezo zaidi

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *