Thursday, 20 August 2026

Mkusanyiko wa habari

Tag: MCHOKONOZI

KESI YA UNGA YA MUNA NA HARIRI MBELE YA GACACA

CHARLES MULLINDA KESI ya unga. Watuma maombi kwa niaba ya serikali ni wachokonozi; na wajibu maombi ni, mosi; shahidi wa Serikali ambaye ushahidi wake mahakamani ulikinzana na wa…

WAKO WAPI MAKACHERO WA KESI YA UNGA YA HARIRI NA MUNA

CHARLES MULLINDA SERIKALI imeshindwa. Imeshindwa kesi mahakamani. Imeshindwa na mfanyabiashara Mohamedi Hariri na mkewe Muna Said, waliokuwa wakishtakiwa kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya…

JINA LA TUNDU LISSU LINAPOANDIKWA KATIKA KITABU CHA HUKUMU

  NA CHARLES MULLINDA  KWA mara nyingine, historia ya siasa za Tanzania inaandikwa upya baada ya jina la Tundu Lissu kuchomekwa katika kitabu cha hukumu likiwa limeandikwa kwa…

TUNAPIGWA, TUJIFICHE HANDAKINI UFIPA

  Rais John Magufuli CHARLES MULLINDA                                             …

RAIS POMBE ANA JESHI LA KALE

Rais Magufuli RAIS John Pombe anaweza kushindwa. Anaweza kushindwa kupata mafanikio ya kuridhisha katika mapambano dhidi ya ufisadi kwa sababu jeshi lake lina wapiganaji wa kale wanaokimbia mchakamchaka…

KESHO TUTACHEKWA PAMOJA NA KIKWETE

KILA ninaipoitazama Tanzania ya kesho ninawaona watoto wa watoto wetu wakitucheka kwa kushindwa kuiishi misingi ya utawala bora, kutofuata sheria za nchi, wanasiasa kuendekeza ulafi wa madaraka walioujenga…

HISTORIA IANDIKWE UPYA SASA (1)

NI jambo la bahati mbaya sana kwamba wapo baadhi ya watu ambao husoma maandishi ya kichokonozi bila kuyaelewa na wapo pia wengine ambao husoma na kuelewa lakini husahau…