RAIS SAMIA, VIONGOZI WA KITAIFA WASHIRIKI SENSA YA WATU NA MAKAZI

Date:

Share post:

RAIS Samia Suluhu Hassan, akizungumza na karani wa sensa, Phausta Ntigiti aliyefika katika makazi yake mapema leo asubuhi, Ikulu ya Chamwino, Dodoma kwa ajili ya shughuli ya sensa ya watu na makazi inayofanyika leo Agosti 23, 2022.

 

MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Isdor Mpango na mkewe Mbonimpaye Mpango, wakizungumza na karani wa sensa, Isack Mgosho aliyefika katika makazi yao yaliyopo Chanika, Dar es Salaam kwa ajili ya shughuli ya sensa ya watu na makazi inayofanyika leo Agosti 23, 2022.

 

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na karani wa Sensa, Amina Mwambe aliyefika katika makazi yake yaliyopo Kijiji cha Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi kwa ajili ya shughuli ya sensa ya watu na makazi inayofanyika leo Agosti 23, 2022.

 

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo akizungumza na karani wa sensa, Faith Buruhani aliyefika katika makazi yake Msasani, Dar es Salaam kwa ajili ya shughuli ya sensa ya watu na makazi inayofanyika leo Agosti 23, 2022.

 


SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson akizungumza na karani wa sensa aliyefika katika makazi yake yaliyopo Mtaa wa Sisimba, Uzunguni jijini Mbeya kwa ajili ya shughulii ya sensa ya watu na makazi inayofanyika leo Agosti 23, 2022.

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Jerry Muro na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Gairo kilichopo Kijiji cha Ikungu, Justin Juma Mghwai wakizungumza na karani wa sensa, Scovia Mkempia Deus aliyefika katika makazi ya mkuu huyo wa wilaya kwa ajili ya shughuli ya sensa ya watu na makazi inayofanyika leo Agosti 23, 2022.

 


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Sharifa Nabalang’anya akizungumza na karani wa sensa, Edward Mlowe aliyefika katika makazi yake kwa ajili ya shughuli ya sensa ya watu na makazi inayofanyika leo Agosti 23, 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

SOMA HIYO! ISRAEL NDIYO WAASISI WA MIKWAJU YA PENALTI

LONDON, Uingereza NI jioni ya Agosti 5, 1970 kwenye Uwanja wa Boothferry Park mjini Hull, Manchester United ikiwa ugenini...

AMEJIPATA! LAMPARD ALIVYOREJEA EPL AKIWEKA REKODI

LONDON, Uingereza IKIWA ni miezi 18 tu imepita tangu alipoajiriwa, Frank Lampard ameiwezesha Coventry City kupanda daraja na kurejea...

USICHUKULIE POA! PATORANKING ALIUZA SUMU YA PANYA MITAANI KABLA YA ‘KUTOBOA’

LAGOS, Nigeria WAHENGA walisema maisha ni safari yenye milima na mabonde. Kwamba katika kuishi kwako, si nyakati zote zitakuwa...

KIFO CHA BOSI KINAVYOITESA LEICESTER CITY

LONDON, UingerezaMIAKA 10 iliyopita, Leicester City waliishangaza dunia walipotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) mbele ya...