DC IKUNGU AHITIMISHA UTOAJI ELIMU YA SENSA YA WATU NA MAKAZI

Date:

Share post:

MKUU wa Wilaya ya Ikungi (DC), mkoani Singida, Jerry Murro leo amehitimisha utoaji elimu ya sensa ya watu na makazi katika Kata ya Siuya kwa kuwaomba wananchi kutoa taarifa sahihi kwa makarani wa sensa ya  watu na makazi watakapofika katika makazi yao.

Murro amewaambia wananchi wa Kata ya Siuya kuwa Serikali imeamua kuwafikia kuwapa elimu ya sensa ikitambua thamani ya kila mwananchi kushiriki sensa ya watu na makazi bila kujali itikadi za kisiasa, dini wala kabila.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

SOMA HIYO! ISRAEL NDIYO WAASISI WA MIKWAJU YA PENALTI

LONDON, Uingereza NI jioni ya Agosti 5, 1970 kwenye Uwanja wa Boothferry Park mjini Hull, Manchester United ikiwa ugenini...

AMEJIPATA! LAMPARD ALIVYOREJEA EPL AKIWEKA REKODI

LONDON, Uingereza IKIWA ni miezi 18 tu imepita tangu alipoajiriwa, Frank Lampard ameiwezesha Coventry City kupanda daraja na kurejea...

USICHUKULIE POA! PATORANKING ALIUZA SUMU YA PANYA MITAANI KABLA YA ‘KUTOBOA’

LAGOS, Nigeria WAHENGA walisema maisha ni safari yenye milima na mabonde. Kwamba katika kuishi kwako, si nyakati zote zitakuwa...

KIFO CHA BOSI KINAVYOITESA LEICESTER CITY

LONDON, UingerezaMIAKA 10 iliyopita, Leicester City waliishangaza dunia walipotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) mbele ya...