Saturday, 10 October 2026

RAIS SAMIA KATIKA BARAZA LA UMOJA WA ULAYA

        Rais Samia Suluhu Hassan akiwa ameongozana na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya, Charles Michel baada ya kumlaki katika makao makuu ya baraza hilo jijini Brussels, Ubelgiji. (Picha kwa hisani ya kurugenzi ya mawasiliano ya Rais) Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya, Charles […]

 

     

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa ameongozana na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya, Charles Michel baada ya kumlaki katika makao makuu ya baraza hilo jijini Brussels, Ubelgiji. (Picha kwa hisani ya kurugenzi ya mawasiliano ya Rais)

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya, Charles Michel wakiingia makao makuu ya baraza hilo jijini Brussels, Ubelgiji. (Picha kwa hisani ya kurugenzi ya mawasiliano ya Rais)

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya, Charles Michel mara baada ya kuwasili makao makuu ya baraza hilo jijini Brussels, Ubelgiji. (Picha kwa hisani ya kurugenzi ya mawasiliano ya Rais) 

 

Rais Samia Suluhu Hassan akijiandaa kuzungumza mara baada ya kuwasili makao makuu ya baraza hilo jijini Brussels, Ubelgiji. (Picha kwa hisani ya kurugenzi ya mawasiliano ya Rais)

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *