RAIS Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ikulu ya Elysée, Paris Ufaransa kwa ajili ya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo, Emmanuel Macron jana. (Picha kwa hisani ya Ikulu)
 |
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron baada ya kuwasili katika Ikulu ya Elysée, Paris Ufaransa. (Picha kwa hisani ya Ikulu). |
|
|
 |
Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mwenyeji wake, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron baada ya kuwasili katika Ikulu ya Elysée, Paris Ufaransa jana. (Picha kwa hisani ya Ikulu)
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na kuagana na mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron katika Ikulu ya Elysée, Paris Ufaransa jana (Picha kwa hisani ya Ikulu)
|
Like this:
Like Loading...