RAIS SAMIA KATIKA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA NCHI ZA AFRIKA, CARIBBEAN NA PACIFIC

Date:

Share post:

Rais Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha wageni katika Makao Makuu ya Umoja wa Nchi za Afrika, Caribbean na Pacific (OACPS) jijini Brussels, Ubelgiji mara baada ya kutoa hotuba yake mbele ya mabalozi wa umoja huo Februari 15 Februari, 2022. (Picha kwa hisani ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu)

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Nchi za Afrika, Caribbean na Pacific (OACPS) mara baada ya Mkutano wa OACPS uliofanyika katika Makao Makuu ya Umoja huo Brussels, Ubelgiji, Februari 15, 2022 (Picha kwa hisani ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu)

 Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia  Mkutano wa  Mabalozi wa Nchi Wanachama wa  Umoja wa Nchi za Afrika, Caribbean na Pacific   (OACPS) uliofanyika  Makao Makuu ya Umoja huo Brussels Ubelgiji, Februari 15 , 2022. (Picha kwa hisani ya Kurugenzi ya Mawasliano ya Rais Ikulu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

SOMA HIYO! ISRAEL NDIYO WAASISI WA MIKWAJU YA PENALTI

LONDON, Uingereza NI jioni ya Agosti 5, 1970 kwenye Uwanja wa Boothferry Park mjini Hull, Manchester United ikiwa ugenini...

AMEJIPATA! LAMPARD ALIVYOREJEA EPL AKIWEKA REKODI

LONDON, Uingereza IKIWA ni miezi 18 tu imepita tangu alipoajiriwa, Frank Lampard ameiwezesha Coventry City kupanda daraja na kurejea...

USICHUKULIE POA! PATORANKING ALIUZA SUMU YA PANYA MITAANI KABLA YA ‘KUTOBOA’

LAGOS, Nigeria WAHENGA walisema maisha ni safari yenye milima na mabonde. Kwamba katika kuishi kwako, si nyakati zote zitakuwa...

KIFO CHA BOSI KINAVYOITESA LEICESTER CITY

LONDON, UingerezaMIAKA 10 iliyopita, Leicester City waliishangaza dunia walipotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) mbele ya...