Diwani wa Zitto alivyosajiliwa CCM

Date:

Share post:

MACHI 3, 2018

 MWENYEKITI WA Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Manyara, Saimon Lulu (aliyevaa suti ya rangi ya kijivu) akijiandaa kumkabidhi kadi ya chama hicho aliyekuwa Diwani wa Kata ya Gehandu katika Wilaya ya Hanang mkoani Manyara, Mathayo Samhenda baada ya kujivunia uanachama wa ACT-Wazalendo, jana.

Mathayo Samhenda akionyesha kadi ya CCM aliyokabidhiwa na mwenyekiti wa chama hicho mkoa, Saimon Lulu, jana.
Mbunge wa Hanang, Mary Nagu wa kwanza kushoto na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Manyara Saimon Lulu wakimshangilia Mathayo Samhenda baada ya kukabidhiwa kadi ya CCM, jana.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

SOMA HIYO! ISRAEL NDIYO WAASISI WA MIKWAJU YA PENALTI

LONDON, Uingereza NI jioni ya Agosti 5, 1970 kwenye Uwanja wa Boothferry Park mjini Hull, Manchester United ikiwa ugenini...

AMEJIPATA! LAMPARD ALIVYOREJEA EPL AKIWEKA REKODI

LONDON, Uingereza IKIWA ni miezi 18 tu imepita tangu alipoajiriwa, Frank Lampard ameiwezesha Coventry City kupanda daraja na kurejea...

USICHUKULIE POA! PATORANKING ALIUZA SUMU YA PANYA MITAANI KABLA YA ‘KUTOBOA’

LAGOS, Nigeria WAHENGA walisema maisha ni safari yenye milima na mabonde. Kwamba katika kuishi kwako, si nyakati zote zitakuwa...

KIFO CHA BOSI KINAVYOITESA LEICESTER CITY

LONDON, UingerezaMIAKA 10 iliyopita, Leicester City waliishangaza dunia walipotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) mbele ya...