Thursday, December 26, 2024
spot_img

GODBLESS LEMA, MALISA WANAPOMZABUA BASHE


MACHI 6, 2018

Haya ni maoni ya Malisa GJ na Godbless Lema kuhusu barua ya Hussein Bashe kwenda kwa Katibu wa Bunge akitaka iundwe kamati teule ya kibunge kuchunguza matukio yanayohatarisha usalama wa Watanzania.  
Malisa

Anaandika MALISA GJ
November 2017
BASHE:
Chadema wakiwachokoza wapigeni bila huruma. Wapigeni sana maana Jeshi la Polisi na vyombo vya dola vipo chini yetu.
February 2018
Agizo likatekelezwa. Watu wakapigwa bila huruma. Raia wakapigwa risasi, wakauawa, wakajeruhiwa, wakatekwa, wakapotezwa.
March2018
BASHE:
Nimepeleka hoja bungeni ili kamati teule ya bunge ichunguze chanzo cha watu kupigwa bila huruma, kuuawa, kutekwa na kupotezwa.
MyTake:
UNAFIKI WA KISOMALI NI MBAYA KULIKO UCHAWI WA KIFIPA.!



Lema
LEMA
Unafiki. Tunahitaji kamati teule kujua mikutano ya siasa imezuiwa? Au watu wanatekwa na kuuawa na kwamba uhuru wa demokrasia na Bunge umekufa?
Acha uoga kemea Serikali ya chama chako, halafu hiyo kamati teule ipeleke taarifa Bunge gani? Nzega kuna nini maana Kigwangala naye kama wewe.

Nyingine Zinazohusiana na Hii

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Tufuatilie

0FansLike
3,913FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -spot_img

Habari Nyingine Mpya