URUSI CHANZO MVUTANO WA UKRAINE, ISRAEL?
KYIV, UkraineUKRAINE na Israel ni mataifa yaliyokuwa na uhusiano mzuri, kabla ya hivi karibuni kuzuka kwa kasheshe, ambayo Urusi imetajwa kuwa chanzo chake. Mgogoro ulianzia kwa mwandishi wa…
Mkusanyiko wa habari
KYIV, UkraineUKRAINE na Israel ni mataifa yaliyokuwa na uhusiano mzuri, kabla ya hivi karibuni kuzuka kwa kasheshe, ambayo Urusi imetajwa kuwa chanzo chake. Mgogoro ulianzia kwa mwandishi wa…
TAKWIMU zinaonesha kuwa baada ya bangi, Heroin ni aina ya pili ya dawa za kulevya zinazotumiwa zaidi hapa nchini, huku kundi la vijana likiwa hatarini zaidi. Heroin ni…
JERUSALEM, Palestina NI katika kambi za raia wa Palestina wanaoishi kwenye mahema baada ya makazi yao kusambaratishwa na mashambulizi ya Israel katika Ukanda wa Gaza. Mbali ya changamoto…
LONDON, Uingereza MICHELLE na Lavinia Osbourne walipishana dakika chache tu kuzaliwa kwao. Ni mapacha waliotokana na mama mmoja lakini baba tofauti. Si ajabu. Kitaalamu, hiyo inawezekana kupitia mchakato…
TAIPEI, Taiwan CHINA na Taiwan ziko jirani, zikitenganishwa na Mlango-Bahari tu. Kwa miaka mingi sasa, pande mbili hizo zimekuwa kwenye mgogoro wa kisiasa unaotishia kuziingiza vitani. Chanzo ni…
VANCOUVER, Canada HIVI karibuni, ulifanyika Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) mjini Vancouver na tukio lililotikisa zaidi ni lile la viongozi wa mchezo huo katika…
KYIV, Ukraine BAADA ya miaka mingi ya ukaribu na mahusiano mazuri, Ukraine na Israel zimeingia kwenye mgogoro wa kidipmolasia. Chanzo cha mgogoro huo ni mwandishi wa habari, Kateryna…
TEHRAN, Iran MOJA ya habari zilizotikisa vichwa vya habari duniani kwa siku za hivi karibuni ni wakati mgumu anaopitia mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Iran, Narges Mohammadi.…
TEHRAN, IranKWA miaka mingi, Iran imekuwa na taswira mbaya linapokuja suala la uhuru wa vyombo vya habari, ikishika nafasi ya 177 katika nchi 180 duniani, kwa mujibu wa…
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Ndugu John Kayombo, amepokea rasmi tuzo maalum pamoja na hundi ya shilingi milioni 8 kwa niaba ya Jiji, kufuatia ushindi wa nafasi ya…