MAN CITY YATUA KWA ENZO WA CHELSEA
LONDON, Uingereza KLABU ya Manchester City inaangalia uwezekano wa kumsajili kiungo wa Chelsea, Enzo Fernandez, wakati wa usajili wa kiangazi. Kwa wiki za hivi karibuni, Muargentina huyo amekuwa…
Mkusanyiko wa habari
LONDON, Uingereza KLABU ya Manchester City inaangalia uwezekano wa kumsajili kiungo wa Chelsea, Enzo Fernandez, wakati wa usajili wa kiangazi. Kwa wiki za hivi karibuni, Muargentina huyo amekuwa…
LONDON, Uingereza KOCHA wa Burnley, Scott Parker, amekalia kuti kavu baada ya timu hiyo kufungwa bao 1-0 na Manchester City, matokeo yaliyoishusha Daraja msimu huu wa Ligi Kuu…
MANCHESTER, Uingereza KATIKA ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Burnley, kiungo wa Manchester City, Bernardo Silva, ameweka rekodi ya kibabe Ligi Kuu ya England (EPL). Man City ikiwa…
MANCHESTER, Uingereza UONGOZI wa klabu ya Manchester United uko tayari kufanya lolote ili kumbakiza kiungo wake raia wa Ureno, Bruno Fernandes. Kwa wiki za hivi karibuni, zimekuwapo taarifa…
LONDON, Uingereza KLABU ya Chelsea inaangalia uwezekano wa kumkabidhi benchi la ufundi kiungo wao wa zamani raia wa Hispania, Cesc Fabregas. Mabosi wa Chelsea wamemfuta kazi Liam Rosenior…
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla, amekutana na kuzungumza, pamoja na kumpatia zawadi ya viatu pamoja na vitu mbalimbali mchezaji nyota na winga wa TRA United, Ramadhan…
LONDON, Uingereza KOCHA wa Aston Villa, Unai Emery, anaitaka saini ya beki wa Barcelona, Alejandro Balde, na amewaambia mabosi wake waandae kitita cha Pauni milioni 43. Beki huyo…
LONDON, Uingereza BAYERN Munich inampigia hesabu za karibu kiungo wa Tottenham na timu ya Taifa ya Senegal, Pape Matar Sarr. Tottenham ilimsajili Sarr mwaka 2021, kisha ikampeleka kwa…
LONDON, Uingereza WOLVES imeiaga Ligi Kuu ya England (EPL) baada ya kushuka daraja. Timu hiyo inarejea Championship ikiwa ni miaka nane tangu ilipotoka huko. Novemba, 2025, mabosi wa…
LONDON, Uingereza UPINZANI wa Lionel Messi na Cristiano Ronaldo unaendelea, licha ya kwamba nyota hao walishaondoka katika soka la Ulaya miaka kadhaa iliyopita. Tangu mwaka 2026 uanze, Messi…