Makala Kitaifa

HAYA NDIYO USIYOYAJUA KUHUSU FEISAL SALUM ABDALLAH (FEI TOTO)

Feisal Salum Abdallah, maarufu kama Fei Toto, ni mmoja wa viungo bora wa soka nchini Tanzania. Alizaliwa tarehe 11 Januari 1998 visiwani Zanzibar na alianza safari yake ya soka...

BUGANDO WAFANYA UPASUAJI KUREKEBISHA SURA

Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando (BMC), kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Sweden na Afrika Kusini,...

KIGOMA YAFANYA UPIMAJI UTAYARI KUKABILIANA NA EBOLA

Serikali, kupitia Wizara ya Afya, imeendesha zoezi la kupima utayari wa wataalamu wa afya na sekta mbalimbali katika...

UKRAINE YASHAMBULIA BANDARI NA MIUNDOMBINU URUSI

‎Vita kati ya Ukraine na Urusi vimechukua sura mpya baada ya Ukraine kutekeleza shambulizi kubwa la droni usiku...

MOTO MKUBWA MWANZA

Huzuni imetanda miongoni mwa wafanyabiashara wa Mtaa wa Lumumba, jijini Mwanza, kufuatia ajali ya moto iliyozuka usiku wa...
spot_img

TUZO MAALUMU YA USAFI WA MAZINGIRA YA WASILISHWA RASMI JIJINI ARUSHA

Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Ndugu John Kayombo, amepokea rasmi tuzo maalum pamoja na hundi ya shilingi milioni 8 kwa niaba ya Jiji, kufuatia...

SERIKALI KUSHIRIKIANA NA WADAU KUTOA ELIMU YA UPANDAJI MITI KWA BIASHARA YA KABONI

Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeendelea kufanya jitihada mbalimbali ili kuhakikisha elimu ya upandaji miti inatolewa kwa...

DK. GWAJIMA AKEMEA IMANI POTOFU KUHUSU NYETI

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy  Gwajima, amekemea uzushi unaoenezwa na baadhi ya watu wenye nia ya kupotosha jamii...

RAIS DKT. MWINYI AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WAPYA IKULU ZANZIBAR.

ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaapisha Wakuu wa Wilaya aliowateua hivi karibuni. Hafla hiyo ya uapisho imefanyika...

VITONGOJI 15 VYANUFAIKA NA UMEME WA REA NAMTUMBO

WANANCHI  wa vitongoji 15 katika Jimbo la Namtumbo, mkoani Ruvuma, wameanza kunufaika na huduma ya umeme baada ya kukamilika kwa mradi wa Wakala wa...

DKT KIJAJI: UHIFADHI ENDELEVU NI INJINI YA UKUAJI WA UTALII NCHINI

Viongozi wa jamii kutoka wilaya za Longido na Ngorongoro wamekutana na Wizara ya Maliasili na Utalii jijini Dodoma kwa lengo la kuimarisha uelewa wa...
spot_img