TUZO MAALUMU YA USAFI WA MAZINGIRA YA WASILISHWA RASMI JIJINI ARUSHA

Date:

Share post:

Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Ndugu John Kayombo, amepokea rasmi tuzo maalum pamoja na hundi ya shilingi milioni 8 kwa niaba ya Jiji, kufuatia ushindi wa nafasi ya kwanza kitaifa katika usafi na uhifadhi wa mazingira.

Tuzo hiyo ilitolewa wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Afya Kitaifa 2026 yaliyofanyika Wilaya ya Kibiti, Mkoa wa Pwani, ikiwa ni kutambua juhudi kubwa zinazofanywa na Jiji la Arusha katika kuhakikisha mazingira yanakuwa safi na salama kwa afya ya wananchi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

KISWAHILI KUIMARISHWA NCHINI KUELEKEA MICHUANO YA AFCON 2027

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Serikali imeweka mkazo katika kuimarisha matumizi ya Kiswahili...

‘KARIAKOO DERBY’ YAVUNJA REKODI YA MABAO

BAADA ya sare ya mabao 2-2 jana Mei 3, 2026, mechi inayozikutanisha Simba na Yanga, maarufu kwa jina...

MASTAA WA KIGENI WAENDELEA KUTAMBA ‘KARIAKOO DERBY’

DAKIKA 90 za 'Kariakoo Derby' zilitamatika jana Mei 3, 2026 katika Uwanja wa Jenerali Isamhuyo jijini Dar es...

PANYA, NGUCHIRO WANAVYOTESA RAIA WA PALESTINA UKANDA WA GAZA

JERUSALEM, Palestina NI katika kambi za raia wa Palestina wanaoishi kwenye mahema baada ya makazi yao kusambaratishwa na mashambulizi...