Habari Kitaifa

FEISAL SALUM NA SIMULIZI YA KUHUZUNISHA: BABA YAKE HAJAWAHI KUMSHUHUDIA AKIWA UWANJANI

Feisal Salum Abdallah, maarufu kama Fei Toto, ni mmoja wa viungo bora wa soka nchini Tanzania. Alizaliwa tarehe 11 Januari 1998 visiwani Zanzibar na alianza safari yake ya soka...

BUGANDO WAFANYA UPASUAJI KUREKEBISHA SURA

Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando (BMC), kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Sweden na Afrika Kusini,...

KIGOMA YAFANYA UPIMAJI UTAYARI KUKABILIANA NA EBOLA

Serikali, kupitia Wizara ya Afya, imeendesha zoezi la kupima utayari wa wataalamu wa afya na sekta mbalimbali katika...

UKRAINE YASHAMBULIA BANDARI NA MIUNDOMBINU URUSI

‎Vita kati ya Ukraine na Urusi vimechukua sura mpya baada ya Ukraine kutekeleza shambulizi kubwa la droni usiku...

MOTO MKUBWA MWANZA

Huzuni imetanda miongoni mwa wafanyabiashara wa Mtaa wa Lumumba, jijini Mwanza, kufuatia ajali ya moto iliyozuka usiku wa...
spot_img

SAMIA AONYA UDOKOZI MIRADI YA UMMA

RIPOTA PANORAMA RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania watakaopata fursa za ajira katika ujenzi wa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini hapa kuepuka...

RAIS SAMIA ATAJWA MAFANIKIO TANROADS

RIPOTA PANORAMA MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Mhandisi Rogatus Mativila amesema Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa na mchango mkubwa katika mafanikio ya utekelezaji...

MASHINE 300 ZA MICHEZO YA KUBAHATISHA ZATEKETEZWA

RIPOTA PANORAMA BODI ya Michezo ya Kubahatisha nchini (GBT) imeendesha msako na kukamata mashine za michezo ya kubahatisha 300 ambazo zilikuwa zinatumika kuikosesha serikali kiasi...

PANYA WATEKETEZA MASHAMBA KILOMBERO

RIPOTA PANORAMA PANYA wameteketeza alizeti na mahindi yaliyokuwa yanakaribia kuvunwa katika mashamba yenye jumla ya hekta 90.5 Kata ya Chita, Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro. Akizungumza...

UKAME WAKWAMISHA UWEKAJI MIFUGO HERENI

RIPOTA PANORAMA UWEKAJI hereni za kieletroniki kwa mifugo kwenye wilaya za Mkoa wa Arusha halitafanikiwa kwa sababu ya ukame unaozikabili wilaya mbalimbali na kusababisha mifugo...

MADIWANI MPIMBWE WAHOJI UJENZI WA BARABARA

RIPOTA PANORAMA BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, Mkoa wa Katavi, limemtaka Meneja wa wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA),...
spot_img