Habari Kitaifa

FEISAL SALUM NA SIMULIZI YA KUHUZUNISHA: BABA YAKE HAJAWAHI KUMSHUHUDIA AKIWA UWANJANI

Feisal Salum Abdallah, maarufu kama Fei Toto, ni mmoja wa viungo bora wa soka nchini Tanzania. Alizaliwa tarehe 11 Januari 1998 visiwani Zanzibar na alianza safari yake ya soka...

BUGANDO WAFANYA UPASUAJI KUREKEBISHA SURA

Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando (BMC), kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Sweden na Afrika Kusini,...

KIGOMA YAFANYA UPIMAJI UTAYARI KUKABILIANA NA EBOLA

Serikali, kupitia Wizara ya Afya, imeendesha zoezi la kupima utayari wa wataalamu wa afya na sekta mbalimbali katika...

UKRAINE YASHAMBULIA BANDARI NA MIUNDOMBINU URUSI

‎Vita kati ya Ukraine na Urusi vimechukua sura mpya baada ya Ukraine kutekeleza shambulizi kubwa la droni usiku...

MOTO MKUBWA MWANZA

Huzuni imetanda miongoni mwa wafanyabiashara wa Mtaa wa Lumumba, jijini Mwanza, kufuatia ajali ya moto iliyozuka usiku wa...
spot_img

NDEJEMBI AWABANA WAKANDARASI WAZEMBE

Waziri wa Nishati, Dk. Deogratius Ndejembi, ameagiza wakandarasi wanaosuasua na wenye historia ya kuchelewesha utekelezaji wa miradi ya kusambaza umeme vijijini kutopatiwa kazi mpya,...

MWANAFUNZI DARASA LA TATU AUAWA MTWARA

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limethibitisha kifo cha mwanafunzi wa darasa la tatu, Moreen Nyamajeje (9), mkazi wa Mtaa wa Lilungu Manispaa ya...

BANDARI YA DAR YAPANDA NAFASI 105 DUNIANI

Bandari ya Dar es Salaam imepanda kwa nafasi 105 katika Ripoti ya Ufanisi wa Bandari Duniani (Container Port Performance Index - CPPI) ya mwaka...

TANZANIA YASHIKA NAFASI YA SITA AFRIKA MASHARIKI HAKI ZA KIDIJITALI

Tanzania imeshika nafasi ya sita miongoni mwa nchi za Afrika Mashariki katika viwango vya kulinda haki za kidijitali na kukuza ujumuishi wa kidijitali, kwa...

WANAWAKE, VIJANA WAHIMIZWA KUSHIRIKI MATUKIO YA UBUNIFU NA SAYANSI Serikali imezitaka taasisi za utafiti na ubunifu kuhakikisha wanawake, vijana na makundi yenye mahitaji maalum wanashiriki...

DKT. NCHIMBI AHIMIZA WIZARA ZA KISEKTA ZITUMIE FURSA ZA BIASHARA YA KABONI KUKIJANISHA TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Emmanuel John Nchimbi, amezihimiza wizara za kisekta nchini kujumuisha fursa za biashara ya kaboni katika...
spot_img