Habari Kitaifa

HAYA NDIYO USIYOYAJUA KUHUSU FEISAL SALUM ABDALLAH (FEI TOTO)

Feisal Salum Abdallah, maarufu kama Fei Toto, ni mmoja wa viungo bora wa soka nchini Tanzania. Alizaliwa tarehe 11 Januari 1998 visiwani Zanzibar na alianza safari yake ya soka...

BUGANDO WAFANYA UPASUAJI KUREKEBISHA SURA

Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando (BMC), kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Sweden na Afrika Kusini,...

KIGOMA YAFANYA UPIMAJI UTAYARI KUKABILIANA NA EBOLA

Serikali, kupitia Wizara ya Afya, imeendesha zoezi la kupima utayari wa wataalamu wa afya na sekta mbalimbali katika...

UKRAINE YASHAMBULIA BANDARI NA MIUNDOMBINU URUSI

‎Vita kati ya Ukraine na Urusi vimechukua sura mpya baada ya Ukraine kutekeleza shambulizi kubwa la droni usiku...

MOTO MKUBWA MWANZA

Huzuni imetanda miongoni mwa wafanyabiashara wa Mtaa wa Lumumba, jijini Mwanza, kufuatia ajali ya moto iliyozuka usiku wa...
spot_img

WANANCHI WANAITAKA MV LIEMBA – WAZIRI MBARAWA

Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema wananchi wa mikoa ya Kigoma, Rukwa na Katavi wanahitaji huduma za meli ya MV Liemba kwa shughuli...

HUDUMA YA MAJI YAZIDI KUIMARIKA MWANZA

https://youtu.be/05rsumLR4xE Wakazi wa Mtaa wa Nyakagwe Kata ya Buhongwa jijini Mwanza, wameipongeza Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mwanza ( MWAUWASA ), kwa...

AFIKISHWA KORTINI KWA KUKUTWA NA EKARI 2 ZA SHAMBA LA BANGI SENGEREMA

​Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewafikisha mahakamani watu wawili wanaotuhumiwa kwa makosa ya jinai yanayohusiana na dawa za kulevya. ​Washtakiwa hao, Madumuka Zilihona (60)...

POLISI YAMNASA KIJANA ALIYEMUUA BABA YAKE

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limebaini kuwa Ramadhan Jafari maarufu kwa jina la Muna (47), ambaye aliripotiwa kupotea, aliuawa na...

DIRISHA LA TUZO KWA WATAFITI AWAMU YA NNE LAFUNGULIWA

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefungua Dirisha la Maombi ya Awamu ya Nne ya Tuzo kwa Watafiti wanaochapisha matokeo ya tafiti zao katika...

TAKUKURU MWANZA YAOKOA MILIONI 106 ZA CHAMA CHA USHIRIKA

https://youtu.be/CSjbL4ikLa8 Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU ), mkoa wa Mwanza imefanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi milioni 100, fedha ambayo ilikuwa mali ya...
spot_img