HABARI

USIYOYAJUA KUHUSU KOCHA ALIYEANDIKA HISTORIA BUNDESLIGA

MUNICH, Ujerumani JINA la Marie-Louise Eta limeandika historia katika soka la Ujerumani baada ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa kocha wa klabu ya Ligi Kuu (Bundesliga). Eta mwenye umri wa miaka...

BURNA BOY HATAKI MAZOEA, ‘BIFU’ KWAKE KAWAIDA TU

HIVI karibuni, supastaa wa muziki wa Afrobeat, Burna Boy, aliingia kwenye mikono ya Chama cha 'Ma-dj' nchini Nigeria,...

BURKINA FASO IKO HOI AU HAI CHINI YA KAPTENI TRAORE?

HATUA ya kutangaza kuwa raia wake waaitarajie demokrasia imeibua maswali mengi juu ya uongozi wa Kapteni Ibrahim Traore...

SIMU YAKO CHANZO CHA UGONJWA WA MOYO, SARATANI?

UKWELI ulio wazi ni kwamba matumizi ya simu za mkononi yameongezeka kwa kasi duniani, Tanzania ikiwa na 'laini'...

MOHAMED BIN SALMAN AKUTANA NA RAIS WA ULAYA KUZUNGUMZA KUHUSU KUIMARISHA USHIRIKIANO

Mkuu wa Taji wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, amekutana na Rais wa Baraza la Ulaya, Antonio Costa,...
spot_img

MAKATIBU WAKUU WAKUTANA KUHUSU UTEKELEZAJI WA AGIZO LA WAZIRI MKUU

Makatibu wakuu wa  Ofisi ya Makamu wa Rais, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)   Wizara za Fedha, Afya na...

NANE WAOKOLEWA NA JESHI LA ZIMAMOTO KWENYE MAFURIKO KILIMANJARO

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika Wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro, limefanikiwa kuwaokoa watu nane waliokuwa wamezingirwa na maji kufuatia mvua kubwa zilizosababisha mafuriko. Tukio...

WATAALAMU WA UJENZI NCHINI WASHAURIWA KUBUNI MIRADI KWA GHARAMA NAFUU

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewataka wataalamu wa fani ya ubunifu majengo na ukadiriaji majenzi nchini kuhakikisha wanatumia uwezo wao wa kitaaluma kuibua bunifu...

KAMATI YA YAFANYA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO MTAMA

Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Mtama, Aprili 11, 2026, imefanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa...

TUME YA JAJI CHANDE YATETA NA DKT. CHAKWERA

MWAKILISHI wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Madola na Rais Mstaafu wa Malawi, Dk.Lazarus Chakwera, amekutana na kufanya mazungumzo na Tume ya Rais ya Kuchunguza...

MAKONDA ATETA NA  MAAFISA MAENDELEO YA JAMII ARUSHA

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, amefanya kikao kazi na Maafisa Maendeleo wa...
spot_img