Uncategorized

DUTERTE KUPANDISHWA KIZIMBANI ICC

MANILA, Ufilipino JOPO la majaji watatu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) limethibitisha kuwa Rais wa zamani wa Ufilipino, Rodrigo Duterte, atapandishwa kizimbani. Duterte anakabiliwa na mashitaka ya uhalifu dhidi...

WRIGHT: RICE APEWE BALLON D’OR

LONDON, Uingereza MKONGWE wa Arsenal, Ian Wright, amemtaja Declan Rice kuwa anastahili kutwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka...

ISRAEL, LEBANON ZAONGEZA WIKI TATU ZA KUSITISHA VITA

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, amesema Israel na Lebanon zimekubaliana kuongeza wiki tatu za kusitisha mapigano. Wakati...

RAIS RAMAPHOSA ‘AMTUMBUA’ MKUU WA POLISI

PRETORIA, Afrika Kusini RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, ametengua uteuzi wa Mkuu wa Polisi nchini humo, Jenerali Fannie...

PAPA AKOSOA MATESO YA WAFUNGWA GUINEA

MALABO, Guinea ya Ikweta KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, ameeleza kutokuridhishwa na namna wafungwa wanavyoishi katika...
spot_img

MeTL YATOA KAULI UTEKELEZAJI AGIZO LA SERIKALI

DAR ES SALAAMKampuni ya Mohamed Enterprises Tanzania Ltd (MeTL) inayomiliki mashamba ya Mkonge yaliyoko Tanga, imesema inatekeleza kwa awamu agizo la Serikali la kuyaendeleza...

MeTL HAIJATELEKEZA AGIZO LA SERIKALI

DAR ES SALAAMKampuni ya Mohamed Enterprises Tanzania Ltd (MeTL) inayomiliki mashamba ya Mkonge yaliyoko Tanga, bado haijatekeleza agizo la Serikali la kuyaendeleza kwa takribani...

‘TFF KUGAWA NOTI NI KAWAIDA’

NdimboDAR ES SALAAMIMEELEZWA kuwa Shirikisho la Kandanda Tanzania (TFF) kuwagawia hela waandishi wa habari kila linapowaita kuandika habari ni utaratibu wake wa kawaida.Hayo yamesemwa...

TFF YAGAWA NOTI KWA WAHARIRI WA MICHEZO

KariaDAR ES SALAAMShirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), jana liligawa mamilioni ya Shilingi kwa wahariri wa michezo wa vyombo mbalimbali vya habari za michezo...
spot_img