Uncategorized

JELA MIAKA 30 KWA KUPATIKANA NA BANGI

MAHAKAMA ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya imemhukumu Brown Frank Mwaitubi (31), mkazi wa Kajunjumele, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuwa na dawa...

DUTERTE KUPANDISHWA KIZIMBANI ICC

MANILA, Ufilipino JOPO la majaji watatu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) limethibitisha kuwa Rais wa zamani wa...

WRIGHT: RICE APEWE BALLON D’OR

LONDON, Uingereza MKONGWE wa Arsenal, Ian Wright, amemtaja Declan Rice kuwa anastahili kutwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka...

ISRAEL, LEBANON ZAONGEZA WIKI TATU ZA KUSITISHA VITA

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, amesema Israel na Lebanon zimekubaliana kuongeza wiki tatu za kusitisha mapigano. Wakati...

RAIS RAMAPHOSA ‘AMTUMBUA’ MKUU WA POLISI

PRETORIA, Afrika Kusini RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, ametengua uteuzi wa Mkuu wa Polisi nchini humo, Jenerali Fannie...
spot_img

WENGI WANAGHUSHI NYARAKA ZA SERIKALI – TMDA

 NA MWANDISHI WETU IMEELEZWA kuwa vitendo vya kughushi nyaraka za serikali vinafanywa na watanzania wengi hapa nchini. Akizungumza na Tanzania PANORAMA Blog jana, Kaimu...

ZAIDI YA BILIONI 5 ZATUMIKA KUJENGA BARABARA YA NGARA

 NA MWANDISHI WETU SHILINGI bilioni 5.26 zimetolewa kupitia Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini (TARURA) kwa ajili ya ujenzi na matengenezo ya barabara katika Wilaya ya...

HOSPITALI YA WILAYA YA KARAGWE YAKAMILIKA KWA ASILIMIA 98

  *Mji wa Kayanga kupata barabara za lami, imo ya Murushaka – Murongo NA MWANDISHI WETU SERIKALI ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imetumia sh. bilioni...

UTATA UINGIZAJI DAWA ZA MIFUGO

 NA MWANDISHI WETU KAMPUNI ya Multvet Farm Ltd ya jijini Dar es Salaam inadaiwa kuingiza nchini dawa za mifugo na kuzisambaza kwa matumizi kwa...

WACHINA ‘WAOGA NOTI’ DAR ES SALAAM

 NA MWANDISHI WETU KAMPUNI mbili za ujenzi za China, China Road and Breadge Corporation (CRBC) na SCG Overseas Tanzania Company Limited zinadaiwa kufanya biashara...

MAJALIWA: MCHAGUENI DK. MAGUFULI ANATOKA CHAMA KINACHOJALI WANANCHI

 *Ampokea aliyekuwa mgombea ubunge wa CHADEMA NA MWANDISHI WETU MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Kassim...
spot_img