Uncategorized

JELA MIAKA 30 KWA KUPATIKANA NA BANGI

MAHAKAMA ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya imemhukumu Brown Frank Mwaitubi (31), mkazi wa Kajunjumele, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuwa na dawa...

DUTERTE KUPANDISHWA KIZIMBANI ICC

MANILA, Ufilipino JOPO la majaji watatu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) limethibitisha kuwa Rais wa zamani wa...

WRIGHT: RICE APEWE BALLON D’OR

LONDON, Uingereza MKONGWE wa Arsenal, Ian Wright, amemtaja Declan Rice kuwa anastahili kutwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka...

ISRAEL, LEBANON ZAONGEZA WIKI TATU ZA KUSITISHA VITA

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, amesema Israel na Lebanon zimekubaliana kuongeza wiki tatu za kusitisha mapigano. Wakati...

RAIS RAMAPHOSA ‘AMTUMBUA’ MKUU WA POLISI

PRETORIA, Afrika Kusini RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, ametengua uteuzi wa Mkuu wa Polisi nchini humo, Jenerali Fannie...
spot_img

CCM ILALA YATOA MSIMAMO MADAI YA DIWANI WAKE KUDANGANYA URAIA

 NA MWANDISHI WETU CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Ilala, kimesema hakina shaka na maelezo yaliyotolewa na Diwani wa Kata Kivukoni, Sharik Choughule kuhusu...

WAZIRI MKUU AZINDUA UCHEPUSHAJI MAJI MTO RUFIJI

 *Misri yaahidi kufundisha Watanzania 25 kwa miaka mitatu mfululizo NA MWANDISHI MAALUMU WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amezindua kazi ya uchepushaji maji ya Mto Rufiji kwenda kwenye handaki ili kupisha ujenzi wa tuta...

URAIA WA DIWANI WA CCM KIUKONI WAZUA UTATA

 NA MWANDISHI WETU Diwani wa Kata ya Kivukoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Sharik Choughule anadaiwa kutoa taarifa zisizokuwa sahihi kuhusu uraia...

WANAFUNZI WASICHANA ST MARY’S WATOROKA USIKU, MMOJA ATOWEKA

 NA CHARLES MULLINDA WANAFUNZI wasichana wa Shule ya Sekondari ya St. Mary’s iliyoko Mbezi Makonde Jijini Dar es Salaam wametoroka shuleni usiku kwenda mahali...

WAZAZI WA MWANAFUNZI ALIYEPOTEA ST MARY’S WAHOFIA KAUAWA

 NA MWANDISHI WETU WAZAZI wa mwanafunzi msichana, Labna Salim Said wa Shule ya Sekondari ya Bweni Wasichana ya St. Mary’s ambaye alitoroka shuleni usiku...

WANASHERIA WACHAMBUA KESI INAYOMUHUSU DREVA WA SSB

 NA MWANDISHI WETU KITENDO cha kumshawishi mtu kufanya mapenzi na mnyama au watu wawili kufanya mapenzi mbele ya mtu mwingine au mbele ya kadamnasi...
spot_img