Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026, Wazo Mwang’onda, amezindua mradi wa basi dogo unaoendeshwa na vijana wa kikundi cha UNAMA katika kijiji cha Picha ya Ndege,...
NA CHARLES MULLINDA KWA mara nyingine, historia ya siasa za Tanzania inaandikwa upya baada ya jina la Tundu Lissu kuchomekwa katika kitabu cha hukumu...
NA MWANDISHI WETU KWA mwaka wa pili sasa, Watanzania wanalala usingizi ulioambatana na jonzi tatu. Njozi hizo ni, mosi; Wakala wa Barabara (TANROADS),...
NA MWANDISHI WETU BARABARA za juu zilizopo eneo la Ubungo zinazofahamika zaidi kwa jina la Ubungo Interchange ni picha halisi ya uchapakazi, uwezo wa...
Gulam Dewji NA MWANDISHI WETU MFANYABIASHARI mwenye ukwasi wa kutosha ambaye kampuni, viwanda, mashamba na biashara zake zimetoa ajira kwa Watanzania na raia wa kigeni...