Uncategorized

MWENGE WAANGAZA MATUMAINI YA AJIRA KWA VIJANA MKURANGA

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026, Wazo Mwang’onda, amezindua mradi wa basi dogo unaoendeshwa na vijana wa kikundi cha UNAMA katika kijiji cha Picha ya Ndege,...

DKT MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA MAWAZIRI WA BARA NA VISIWANI KUJADILI MUUNGANO

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameongoza Kikao cha Mawaziri wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na...

RAIS SAMIA AZINDUA MELI YA KWANZA YA UVUVI BAHARI KUU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Samia amezindua meli hiyo leo Aprili 25,2026 kwenye ufukwe wa Makao Makuu ya Shirika la Uvuvi nchini...

TANAPA YAZIDI KUJIIMARISHA KIUTENDAJI, YAAPISHA MAKAMISHNA WAPYA WA UHIFADHI JIJINI DODOMA

Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) linaendelea kuimarisha mfumo wake wa uongozi na utendaji kazi kwa kuwapandisha...

JELA MIAKA 30 KWA KUPATIKANA NA BANGI

MAHAKAMA ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya imemhukumu Brown Frank Mwaitubi (31), mkazi wa Kajunjumele, kifungo cha miaka...
spot_img

MIKATABA YA BIASHARA YA MBOLEA YA MABILIONI YAPOTEA TFC

 Shehena ya mbolea ambayo imekuwa ikisambazwa hapa nchini, (Picha kwa hisani ya mtandao) NA CHARLES MULLINDA MIKATABA ya biashara ya mbolea yenye thamani ya...

JERRY MURRO AWA DC WA MFANO

 Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Idd Kimanta (katikati mwenye suti nyeusi) Mkuu wa Wilaya wa Arumeru , Jerry Murro,(pembeni ya RC Kimanta) wakikagua ujenzi...

SITA WAHUKUMIWA KUNYONGWA KWA MAUAJI YA WATU 17 WA FAMILIA MOJA

 NA REBECCA KWANDU MAHAKAMA Kuu Kanda ya Musoma, imewahukumu kunyongwa hadi kufa washtakiwa sita wa mauaji ya watu 17 wa familia moja huku ikiwaachia...

BODI YA MIKOPO YAFAFANUA SHERIA YA ULIPAJI MADENI KWA WANAFUIKA WA MKOPO

Mkurugeni Mtendaji wa HESLB, Abdul Razaq Badru NA MWANDISHI WETU BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa ufafanuzi wa marekebisho ya...

KAMATI ZA BUNGE KUANZA VIKAO LEO DODOMA

 Spika wa Bunge, Job NdugaiNA MWANDISHI WETU KAMATI  za kudumu za Bunge zinaanza vikao vyake leo jijini Dodoma kutekeleza majukumu ya kibunge kabla ya...

DC MURO 'AJIPIGAPIGA' KIFUA UJENZI WA MADARASA, MAFANIKIO YA ELIMU ARUMERU

 NA MWANDISHI WETU, ARUMERU MKUU wa Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha (DC) Jerry Murro amesimama mbele ya wananchi wa Wilaya ya Arumeru na kujipigapiga...
spot_img