Uncategorized

SOMA HIYO! ISRAEL NDIYO WAASISI WA MIKWAJU YA PENALTI

LONDON, Uingereza NI jioni ya Agosti 5, 1970 kwenye Uwanja wa Boothferry Park mjini Hull, Manchester United ikiwa ugenini dhidi ya Hull City na dakika za nyongeza za mchezo huo...

AMEJIPATA! LAMPARD ALIVYOREJEA EPL AKIWEKA REKODI

LONDON, Uingereza IKIWA ni miezi 18 tu imepita tangu alipoajiriwa, Frank Lampard ameiwezesha Coventry City kupanda daraja na kurejea...

USICHUKULIE POA! PATORANKING ALIUZA SUMU YA PANYA MITAANI KABLA YA ‘KUTOBOA’

LAGOS, Nigeria WAHENGA walisema maisha ni safari yenye milima na mabonde. Kwamba katika kuishi kwako, si nyakati zote zitakuwa...

KIFO CHA BOSI KINAVYOITESA LEICESTER CITY

LONDON, UingerezaMIAKA 10 iliyopita, Leicester City waliishangaza dunia walipotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) mbele ya...

ISHU YA RASHFORD BADO PASUA KICHWA

MANCHESTER, UingerezaKOCHA wa Manchester United, Michael Carrick, amesema bado haijafahamika kama Marcus Rashford atarudi klabuni hapo au atabaki...
spot_img

SERIKALI INATAFUTA NJIA MBADALA ZA KUPUNGUZA GHARAMA ZA MAISHA – MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa*Aitisha kikao cha kutathmini bei ya mafuta RIPOTA WA WAZIRI MKUU WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia mbadala...

WAZIRI MKUU AKEMEA UPIGAJI FEDHA MSD

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa*Ni zile zilizotokana na miradi ya UVIKO 19  RIPOTA OFISI YA WAZIRI MKUU WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekemea tabia ya baadhi...

NILIONDOKA TOC KULINDA HESHIMA YANGU NA YA TAALUMA YANGU

RIPOTA PANORAMA 0711 46 49 84 ALIYEKUWA Mweka Hazina wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Charles Nyange amesema aliacha kazi katika kamati hiyo kwa...

TOC YAPANGA KUJISAFISHA TUHUMA ZA UFISADI

Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) Filbert BayiRIPOTA PANORAMA0711 46 49 84 BAADA ya  kutishia Tanzania PANORAMA Blog kuipeleka mahakamani kwa kuibua...

FILBERT BAYI ADAIWA KUFISADI FEDHA ZA TOC, YEYE AKANUSHA ASEMA ANACHAFULIWA

Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) Filbert Bayi RIPOTA PANORAMA 0711 46 49 84 KATIBU Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, Filbert Bayi...

HABARI KATIKA PICHA- RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA WATANZANIA WANAOISHI MAREKANI JIJINI WASHTON DC

 Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na watanzania wanaoishi nchini Marekani katika Jiji la Washington DC. (Picha zote kwa hisani ya Ikulu)
spot_img