NANI KOCHA MPYA WA MADRID MSIMU UJAO?
MADRID, Hispania ALVARO Arbeloa analiongoza benchi la ufundi la Real Madrid hadi mwishoni mwa msimu huu, kisha atakabidhi mikoba kwa kocha mpya. Arbeloa aliajiriwa Januari, 2026 kuchukua nafasi…
Mkusanyiko wa habari
MADRID, Hispania ALVARO Arbeloa analiongoza benchi la ufundi la Real Madrid hadi mwishoni mwa msimu huu, kisha atakabidhi mikoba kwa kocha mpya. Arbeloa aliajiriwa Januari, 2026 kuchukua nafasi…
Historia imeandikwa katika Hospitali ya Mt. Meru ambapo huduma ya Tiba Kemikali (Chemotherapy) imezinduliwa rasmi katika hospitali hiyo. Uzinduzi huo umefanywa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Arusha,…
KLABU tajiri za Ligi Kuu ya Saudi Arabia zinapigana vikumbo kuiwania huduma ya mshambuliaji anayejiandaa kuondoka Liverpool, Mohamed Salah. Mtandao wa TEAMTalk umeripoti kuwa tayari bado ya mabosi…
Meya wa Jiji la Arusha, Mhe. Maxmillian Iranqhe, amefanya kikao kazi kilichowakutanisha Maafisa Afya kutoka kata zote 25, wakandarasi wa huduma ya uzoaji taka pamoja na mawakala wa…
DAR ES SALAAM TUME ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, Februari 28 imekutana na mmiliki wa mabasi…
DAR ES SALAAM GAVANA wa Jimbo la Maniema, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Moise Kabwankubi ameongoza ujumbe wa nchi hiyo kuzuru Hospitali ya Taifa Muhimbili na taasisi…
KOCHA mkuu wa zamani wa Yanga, Mbelgiji Tom Saintfiet, ni miongoni mwa makocha watano walioomba kibarua cha kuifundisha timu hiyo, kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu…
KLABU ya Azam inatarajia kukamilisha usajili wa beki wa kati wa timu ya Coastal Union, Lameck Lawi, kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara na…
Beki wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Bakari Malima, ‘Jembe Ulaya’, amesema klabu yake inatakiwa kusajili wachezaji wapya watano kwa ajili ya msimu ijayo wa Ligi Kuu…