Wednesday, 7 October 2026

‘INJINIA’ HERSI SAID BALOZI WA KISWAHILI

BODI  ya Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA), imemteua Rais wa Klabu ya Yanga SC Mhandisi Hersi Said kuwa balozi wa Kiswahili ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Mhandisi Hersi atakuwa miongozi mwa mabalozi watatu wa BAKITA ambao ni  Salma Kikwete na  Jorum Mkumbi” Consolata Mushi – Katibu Mkuu BAKITA  Consolata Mushi. About The Author […]

BODI  ya Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA), imemteua Rais wa Klabu ya Yanga SC Mhandisi Hersi Said kuwa balozi wa Kiswahili ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

Mhandisi Hersi atakuwa miongozi mwa mabalozi watatu wa BAKITA ambao ni  Salma Kikwete na  Jorum Mkumbi” Consolata Mushi – Katibu Mkuu BAKITA  Consolata Mushi.

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *