Saturday, 22 August 2026

RAIS WA ZAMANI WA MALAWI ATUA TANZANIA KWA ZIARA YA KIKAZI

Mhe. Lazarus Chakwera, Rais wa Zamani wa Jamhuri ya Malawi na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Mhe. Shirley Ayorkor Botchwey, wamewasili nchini tarehe 08 Aprili 2026 usiku kwa ziara ya kikazi. Mhe. Chakwera amepokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na […]

Mhe. Lazarus Chakwera, Rais wa Zamani wa Jamhuri ya Malawi na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Mhe. Shirley Ayorkor Botchwey, wamewasili nchini tarehe 08 Aprili 2026 usiku kwa ziara ya kikazi.

Mhe. Chakwera amepokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe.

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *