UHOLANZI: HATUNA SHIDA NA KANYE WEST

Date:

Share post:

LOS ANGELES, Marekani

WIZARA ya Uhamiaji ya Uholanzi imeweka wazi kuwa haitomnyima rapa Kanye West kibali cha kuingia nchini humo.

Uholanzi imeibuka na taarifa hiyo baada ya Kanye kuzuiwa kuingia Uingereza kwa ajili ya kutumbuiza katika Tamasha la Wireless.

Kuzuiwa kwake kunatokana na kauli za kibaguzi alizowahi kuzitoa dhidi ya jamii ya Kiyahudi.

Hata hivyo, Uholanzi kupitia kwa Waziri wa Uhamiaji, Bart van den Brink, haioni sababu ya kumzuia staa huyo kuingia nchini kwao.

Taarifa ya Uholanzi inakuja wakati Kanye akijiandaa kwenda nchini humo kwa ajili ya ‘shoo’ itakayofanyika Juni 6-8, 2026.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

SOMA HIYO! ISRAEL NDIYO WAASISI WA MIKWAJU YA PENALTI

LONDON, Uingereza NI jioni ya Agosti 5, 1970 kwenye Uwanja wa Boothferry Park mjini Hull, Manchester United ikiwa ugenini...

AMEJIPATA! LAMPARD ALIVYOREJEA EPL AKIWEKA REKODI

LONDON, Uingereza IKIWA ni miezi 18 tu imepita tangu alipoajiriwa, Frank Lampard ameiwezesha Coventry City kupanda daraja na kurejea...

USICHUKULIE POA! PATORANKING ALIUZA SUMU YA PANYA MITAANI KABLA YA ‘KUTOBOA’

LAGOS, Nigeria WAHENGA walisema maisha ni safari yenye milima na mabonde. Kwamba katika kuishi kwako, si nyakati zote zitakuwa...

KIFO CHA BOSI KINAVYOITESA LEICESTER CITY

LONDON, UingerezaMIAKA 10 iliyopita, Leicester City waliishangaza dunia walipotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) mbele ya...