DONALD TRUMP ADAI ATAGOMBEA URAIS VENEZUELA

Date:

Share post:

Washington, Marekani

Rais wa Marekani Donald J Trump amesema kuwa akimaliza awamu yake ya uongozi nchini humo, anaweza kwenda kugombea urais nchini Venezuela na akapata kura nyingi kuliko mtu mwingine yeyote katika historia ya nchi hiyo.

“watu wa Venezuela wanasema kama nitagombea urais wa Venezuela, nitapata kura nyingi kuliko alizowahi kupata mtu mwingine yeyote, kwahiyo nikimaliza hili ninaweza kwenda Venezuela, nikajifunza kihispania kwa rahara, haitachukua muda mrefu kwasababu mimi ni mzuri kwenye lugha…….lakini tunafuraha na rais aliyechaguliwa”

Kauli hii ya Trump inakuja ikiwa imepita takribani miezi mitatu tangu aliyekuwa Rais wa Venezuela Nicolás Maduro,avamiwe na kukamatwa akiwa nchini kwake kisha kupelekwa nchini Marekani na kufunguliwa  mashitaka.

About The Author

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

USIYOYAJUA KUHUSU KOCHA ALIYEANDIKA HISTORIA BUNDESLIGA

MUNICH, Ujerumani JINA la Marie-Louise Eta limeandika historia katika soka la Ujerumani baada ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa...

BURNA BOY HATAKI MAZOEA, ‘BIFU’ KWAKE KAWAIDA TU

HIVI karibuni, supastaa wa muziki wa Afrobeat, Burna Boy, aliingia kwenye mikono ya Chama cha 'Ma-dj' nchini Nigeria,...

BURKINA FASO IKO HOI AU HAI CHINI YA KAPTENI TRAORE?

HATUA ya kutangaza kuwa raia wake waaitarajie demokrasia imeibua maswali mengi juu ya uongozi wa Kapteni Ibrahim Traore...

SIMU YAKO CHANZO CHA UGONJWA WA MOYO, SARATANI?

UKWELI ulio wazi ni kwamba matumizi ya simu za mkononi yameongezeka kwa kasi duniani, Tanzania ikiwa na 'laini'...