HAKUNA UHABA WA MAFUTA ZANZIBAR

Date:

Share post:

RIPORA PANORAMA

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imesema kuwa licha ya vita vinavyoendelea katika baadhi ya nchi za Mashariki ya Kati ambazo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta duniani, Zanzibar ina akiba ya kutosha ya nishati hiyo na hakuna dalili ya upungufu kwa sasa.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Maji, Nishati na Madini, Nadil Abdul-latif wakati akizungumza na waandishi wa habari akitoa tathmini ya mafanikio ya siku 100 za uongozi wa Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi katika kipindi chake cha pili.

Amesema hatua zilizochukuliwa na serikali kukabiliana na athari za kiuchumi na kibiashara zinazoweza kujitokeza kutokana na migogoro hiyo ya kimataifa.

Waziri huyo, amesema serikali imejipanga kuhakikisha upatikanaji wa mafuta unaendelea kuwa wa uhakika visiwani humo bila changamoto yoyote kwa wananchi na sekta mbalimbali za uzalishaji.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

SOMA HIYO! ISRAEL NDIYO WAASISI WA MIKWAJU YA PENALTI

LONDON, Uingereza NI jioni ya Agosti 5, 1970 kwenye Uwanja wa Boothferry Park mjini Hull, Manchester United ikiwa ugenini...

AMEJIPATA! LAMPARD ALIVYOREJEA EPL AKIWEKA REKODI

LONDON, Uingereza IKIWA ni miezi 18 tu imepita tangu alipoajiriwa, Frank Lampard ameiwezesha Coventry City kupanda daraja na kurejea...

USICHUKULIE POA! PATORANKING ALIUZA SUMU YA PANYA MITAANI KABLA YA ‘KUTOBOA’

LAGOS, Nigeria WAHENGA walisema maisha ni safari yenye milima na mabonde. Kwamba katika kuishi kwako, si nyakati zote zitakuwa...

KIFO CHA BOSI KINAVYOITESA LEICESTER CITY

LONDON, UingerezaMIAKA 10 iliyopita, Leicester City waliishangaza dunia walipotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) mbele ya...