Monday, June 23, 2025
spot_img

MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWENYE KIWANDA CHA SC JOHNSON FAMILY CHA NEW YORK, MAREKANI

Rais Samia Suluhu Hassan, akitembelea Kiwanda cha SC Johnson Family kinachotengeneza Viuatilifu kwa ajili ya kudhibiti wadudu dhurifu waenezao magonjwa mbalimbali kilichopo katika mji wa Chicago, Marekani, Aprili 19, 2022. (Picha zote kwa hisani ya Ikulu).

Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SC Johnson Family, Dk. Fisk Johnson na ujumbe wake kabla ya kutembelea Kiwanda cha SC Johnson Family kinachotengeneza Viuatilifu kwa ajili ya kudhibiti wadudu dhurifu waenezao magonjwa mbalimbali kilichopo katika mji wa Chicago, Marekani Aprili 19, 2022 (Picha zote kwa hisani ya Ikulu).

Rais Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu namna ya kudhibiti wadudu dhurifu waenezao magonjwa mbalimbali alipotembelea moja ya viwanda vya SC Johnson Family kilichopo katika mji wa Chicago, Marekani Aprili 19, 2022 (Picha zote kwa hisani ya Ikulu)

Rais Samia Suluhu Hassan, akiangalia baadhi ya wadudu wa aina mbalimbali waliodhibitiwa, alipotembelea moja ya viwanda vya SC Johnson Family kinachotengeneza Viuatilifu kwa ajili ya kudhibiti wadudu dhurifu waenezao magonjwa mbalimbali kilichopo katika mji wa Chicago, Marekani  Aprili 19, 2022.(Picha zote kwa hisani ya Ikulu)


Nyingine Zinazohusiana na Hii

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Tufuatilie

0FansLike
3,913FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -spot_img

Habari Nyingine Mpya