ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR Dk. SHEIN WILAYA YA MAGHARIBI "B"

Date:

Share post:

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika ufunguzi wa  jengo la madarasa 3 mapya katika Skuli ya Kijitoupele yaliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kupitia Kampeni ya “MIMI NA WEWE”   wakati wa  ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi”B” katika Mkoa wa Mjini Magharibi leo

Baadhi ya Wananchi na Wazee wa Wanafunzi katika Skuli ya Skuli ya Kijitoupele wakimkaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein mara alipowasili  katika ufunguzi wa  jengo la madarasa 3 mapya yaliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kupitia Kampeni ya “MIMI NA WEWE”  wakati wa ziara ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi”B” katika Mkoa wa Mjini Magharibi leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwapungia mkono  Viongozi mbali mbali na Wananchi mara alipowasili katika ufunguzi wa  jengo la madarasa 3 mapya ya Skuli ya Kijitoupele yaliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kupitia Kampeni ya “MIMI NA WEWE” katika  ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi”B” katika Mkoa wa Mjini Magharibi 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Nd,Khadija Bakari  (wa tatu kulia) wakati alipowatembelea Wanafunzi wa darasa la 4A baada ya kufungua  jengo la madarasa 3 mapya ya Skuli ya Kijitoupele  yaliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kupitia Kampeni ya “MIMI NA WEWE” chini ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud(katikati) wakati wa ziara yake ya kutembelea  Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi”B” katika Mkoa wa Mjini Magharibi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu Asma Salim Juma (wa pili kulia0  wakati alipowatembelea Wanafunzi wa darasa la 4A baada ya kufungua  jengo la madarasa 3 mapya ya Skuli ya Kijitoupele  yaliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kupitia Kampeni ya “MIMI NA WEWE” (kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Nd,Khadija Bakari na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma(wa pili kulia) wakati wa ziara yake ya kutembelea  Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi”B” katika Mkoa wa Mjini Magharibi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipanda Mti wa Muembe kama kumbukumbu yake alipofungua  jengo la madarasa 3 mapya katika Skuli ya Kijitoupele yaliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kupitia Kampeni ya “MIMI NA WEWE”   wakati wa  ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi”B” katika Mkoa wa Mjini Magharibi 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipokea risala kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya magharibi “B” Ndg. Silima Haji Haji katika sherehe za ufunguzi wa  jengo la madarasa 3 mapya katika Skuli ya Kijitoupele yaliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kupitia Kampeni ya “MIMI NA WEWE”   wakati wa  ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi”B” katika Mkoa wa Mjini Magharibi

Wananchi waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa  jengo la madarasa 3 mapya katika Skuli ya Kijitoupele yaliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kupitia Kampeni ya “MIMI NA WEWE”   wakisikiliza Taarifa mbali mbali zilizotolewa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa  ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi”B” katika Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akimkabidhi Cheti Sheha wa Shehia ya Pangawe Bw.Abdalla Juma Mtumweni kwa ushiriki wake katika ujenzi wa  jengo la madarasa 3 mapya katika Skuli ya Kijitoupele yaliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kupitia Kampeni ya “MIMI NA WEWE”   wakati wa  ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi”B” katika Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akimkabidhi Cheti Sheha wa Shehia ya Pangawe Bw.Abdalla Juma Mtumweni kwa ushiriki wake katika ujenzi wa  jengo la madarasa 3 mapya katika Skuli ya Kijitoupele yaliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kupitia Kampeni ya “MIMI NA WEWE”   wakati wa  ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi”B” katika Mkoa wa Mjini Magharibi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akimkabidhi Nd,Hemedi Mwinchande Hemedi wa Zuri Zanzibar Hotel kwa kuchangia madawati katika  madarasa 3 mapya katika Skuli ya Kijitoupele yaliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kupitia Kampeni ya “MIMI NA WEWE”   wakati wa  ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi”B” katika Mkoa wa Mjini Magharibi

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

KIFO CHA BOSI KINAVYOITESA LEICESTER CITY

LONDON, UingerezaMIAKA 10 iliyopita, Leicester City waliishangaza dunia walipotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) mbele ya...

ISHU YA RASHFORD BADO PASUA KICHWA

MANCHESTER, UingerezaKOCHA wa Manchester United, Michael Carrick, amesema bado haijafahamika kama Marcus Rashford atarudi klabuni hapo au atabaki...

BARCA YAPATA MRITHI WA LEWANDOWSKI

CATALUNYA, HispaniaKLABU ya Barcelona imeanza mipango ya kumsajili mshambuliaji wa kati wa Real Mallorca, Vedat Muriqi, ikiamini anatosha...

ARSENAL AKILI YOTE KWA MONGA

LONDON, UingerezaARSENAL ya Kaskazini mwa Jiji la London imeonesha nia ya kumsajili winga anayefanya vizuri Ligi Daraja la...