Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete akizungumza na familia ya Wanamichezo wakati wautoaji wa Tunzo za Mchezaji borawa michuano ya Ndondo Cup inayoandaliw ana kampuni ya CloudsMedia Group kupitia kipindi chake cha Sports Extra
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete, akikabidhi tunzo ya Mchezaji bora kwa kocha wa timu ya Misosi FcYenye maskani yake Manzese
Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dodoma (DOREFA) Mulamu Nghambi akikabidhi zwadi kwa Refalii borawa michuano ya Ndondo Cup
Mkurugenzi wa Vipindi wa kituo cha Televisheni na Radio ya Clouds , Shafii Daudaakikabidhi Zawadi ya Mwandishi bora wa Michuano ya Ndondo Cup Charles Abel wa Mwananchi
Dogo Janja akiwa katika picha ya pamoja marabaadaya kukabidhi zwadi kwa shabiki bora wa michuano ya Ndondo Cup
Mpiga picha borawa Michuano ya Ndondo Cup , Rachel Palangyo akiwa na Tunzo yake mara baadaya kukabidhiwa
Mwenyekiti wa Chama cha Soka cha DRFA , Almas Kasongo akikabidhi zawadi ya heshima kwa Dr JJ Mwaka
Dj Sinyorita kutoka kipindi cha XXL cha Clouds Fm akifanya yake katika utoaji wa Tunzo za watu waliofanya vizuri katika Michuano ya Ndondo Cup
Mtangazaji wa kipindi cha Sports Extra , Mbwiga wa Mbwiguke akifanya yake ya kizaramo jukwaani
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete akimtunza Msanii wa Singeli Msaga Sumu
Msanii wa Muziki wa SINGELI nchini Msaga Sumu akifanya yake Jukwaani
Wadau wa mpira walioshiriki hafla hiyo ya utoaji Tunzo katika michuano ya Ndondo Cup
Wadau wa mpira walioshiriki hafla hiyo ya utoaji Tunzo katika michuano ya Ndondo Cup