KUBENEA ASEMA ZAIDI YA MILIONI 90 KUKARABATI SHULE ZA MSINGI KATA YA MAKUBURI

Date:

Share post:

 Mbunge wa Ubungo,Saed Kubenea akizungumza na Wanafunziwa Darasa la Tatu wa Shule ya Msingi Makuburi wakati alipokwenda kukagua ukarabati wa Madarasa wa shule hiyo unaotokana na mfuko wa jimbo na fedha za Halmashauri ambapo jumla ya fedha zaidi ya Milioni 88 zimetolewa na Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya ubungo na Milioni 17 Kutoka Mfuko wa Jimbo wa  mbunge huyo

 Mbunge wa Ubungo,Saed Kubenea akizungumza na Wanafunziwa Darasa la Tatu wa Shule ya Msingi Makuburi wakati alipokwenda kukagua ukarabati wa Madarasa wa shule hiyo unaotokana na mfuko wa jimbo na fedha za Halmashauri ambapo jumla ya fedha zaidi ya Milioni 88 zimetolewa na Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya ubungo na Milioni 17 Kutoka Mfuko wa Jimbo wa  mbunge huyo

 Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaaa wa Mwongozo , James Gointamile(CCM)   akimuonyesha Mbunge wa Ubungo , Saed Kubenea (CHADEMA), Baadhi ya Vigae ambavyo vilikuwa vinavuja katika madarasa matatu ya Shule ya Msingi Makuburi mara baada ya Mbunge Huyo kutoa Milioni 17 kwa ajili ya kununua bati mpya za kisasa kuezeka shule hiyo.

 Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea akionyesha Sehemu ya Paa ambayo inavuja inatarajiwa kuzibwa hivi karibuni na Mabati amabyo yametolewa kwenye fedha za mfuko wa Jimbo

 Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea akiangalia sehemu ya Shimo la choo cha Matundu 12 knachotaraji kujengwa na fedha za Halmashauri ya Manispaa ya ubungo mara baada ya Choo cha shule hiyo kutokuwa katika hali nzuri

 Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea akizungumza na Watendaji wa Mtaa na Diwani wa kata ya Makubuli, Hanifa Chiwili kwenye darasa ambalo liko juu ya chemba ya kuhifadhia maji ya mvua ya shule hiyo hili kuzuia Mmong’onyoko kwa Madarasa Mengine

 Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea akizungumza na Walimu wa shule ya Msingi Makuburi mara baada ya kutembelea chumba cha Walimu


 Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea Akiwa katika korido za shule msingi Makuburi

 Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea akiagana na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Makuburi

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

RAIS WA TAIWAN ASITISHA ZIARA YAKE AFRIKA, CHINA IKITAJWA KUWA CHANZO

TAIPEI, TaiwanRAIS wa Taiwan, Lai Ching-te, ameahirisha ziara yake nchini Eswatini, huku akiitaja China kuwa ndiyo chanzo cha...

USIYOYAJUA KUHUSU ZIARA YA PAPA LEO BARANI AFRIKA

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, yuko barani Afrika kwa ziara ya siku 10 katika mataifa...

MATESO WANAYOPITIA WATOTO KATIKA MACHAFUKO YA SUDAN

DARFUR, Sudan "HALI ya watoto nchini Sudan inazidi kuwa mbaya kila baada ya saa moja." Hiyo ni kauli ya...

IRAN: TUKO TAYARI KWA VITA MAZUNGUMZO YAKISHINDIKANA

TEHRAN, IranSPIKA wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, amesema nchi yake itakuwa tayari kwa mbinu mpya za...