MAKONDA AWASILISHA BAJETI YA BILIONI 525.3 WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO 2026/2027

Date:

Share post:

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Christian Makonda, ameomba Bunge kuidhinisha jumla ya Shilingi 525,327,857,000 kwa ajili ya bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027.

Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi bungeni jijini Dodoma, Waziri amesema fedha hizo zitatumika kutekeleza majukumu ya Wizara katika sekta za habari, utamaduni, sanaa na michezo kwa mwaka huo wa fedha.

Kwa mgawanyo wa bajeti hiyo, Shilingi 39,071,597,000 zimetengwa kwa mishahara, Shilingi 28,065,472,000 kwa matumizi mengineyo, na Shilingi 458,190,778,000 kwa miradi ya maendeleo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

KISWAHILI KUIMARISHWA NCHINI KUELEKEA MICHUANO YA AFCON 2027

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Serikali imeweka mkazo katika kuimarisha matumizi ya Kiswahili...

‘KARIAKOO DERBY’ YAVUNJA REKODI YA MABAO

BAADA ya sare ya mabao 2-2 jana Mei 3, 2026, mechi inayozikutanisha Simba na Yanga, maarufu kwa jina...

MASTAA WA KIGENI WAENDELEA KUTAMBA ‘KARIAKOO DERBY’

DAKIKA 90 za 'Kariakoo Derby' zilitamatika jana Mei 3, 2026 katika Uwanja wa Jenerali Isamhuyo jijini Dar es...

PANYA, NGUCHIRO WANAVYOTESA RAIA WA PALESTINA UKANDA WA GAZA

JERUSALEM, Palestina NI katika kambi za raia wa Palestina wanaoishi kwenye mahema baada ya makazi yao kusambaratishwa na mashambulizi...