WATATU KUZIBA NAFASI ZA WABUNGE AFRIKA MASHARIKI(EALA)

Date:

Share post:

Katibu wa Bunge, Ndugu Baraka Leonard, ametangaza rasmi washindi watatu wa nafasi za Bunge la Afrika Mashariki (EALA) ambao ni Fatuma Kange, Cosato Chumi na Kambarage Wasira.

Washindi hao wamejaza nafasi tatu zilizokuwa wazi baada ya wabunge waliokuwa wakihudumu katika Bunge hilo kuchaguliwa kuwa Wabunge wa Bunge la Tanzania.

Uchaguzi huo mdogo wa EALA umefanyika leo Mei 04, 2026 ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, jijini Dodoma, wakati wa Kikao cha 21 cha Mkutano wa 3 wa Bunge la 13.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

KISWAHILI KUIMARISHWA NCHINI KUELEKEA MICHUANO YA AFCON 2027

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Serikali imeweka mkazo katika kuimarisha matumizi ya Kiswahili...

‘KARIAKOO DERBY’ YAVUNJA REKODI YA MABAO

BAADA ya sare ya mabao 2-2 jana Mei 3, 2026, mechi inayozikutanisha Simba na Yanga, maarufu kwa jina...

MASTAA WA KIGENI WAENDELEA KUTAMBA ‘KARIAKOO DERBY’

DAKIKA 90 za 'Kariakoo Derby' zilitamatika jana Mei 3, 2026 katika Uwanja wa Jenerali Isamhuyo jijini Dar es...

PANYA, NGUCHIRO WANAVYOTESA RAIA WA PALESTINA UKANDA WA GAZA

JERUSALEM, Palestina NI katika kambi za raia wa Palestina wanaoishi kwenye mahema baada ya makazi yao kusambaratishwa na mashambulizi...