SAFU MAALUM

USIYOYAJUA KUHUSU KOCHA ALIYEANDIKA HISTORIA BUNDESLIGA

MUNICH, Ujerumani JINA la Marie-Louise Eta limeandika historia katika soka la Ujerumani baada ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa kocha wa klabu ya Ligi Kuu (Bundesliga). Eta mwenye umri wa miaka...

BURNA BOY HATAKI MAZOEA, ‘BIFU’ KWAKE KAWAIDA TU

HIVI karibuni, supastaa wa muziki wa Afrobeat, Burna Boy, aliingia kwenye mikono ya Chama cha 'Ma-dj' nchini Nigeria,...

BURKINA FASO IKO HOI AU HAI CHINI YA KAPTENI TRAORE?

HATUA ya kutangaza kuwa raia wake waaitarajie demokrasia imeibua maswali mengi juu ya uongozi wa Kapteni Ibrahim Traore...

SIMU YAKO CHANZO CHA UGONJWA WA MOYO, SARATANI?

UKWELI ulio wazi ni kwamba matumizi ya simu za mkononi yameongezeka kwa kasi duniani, Tanzania ikiwa na 'laini'...

MOHAMED BIN SALMAN AKUTANA NA RAIS WA ULAYA KUZUNGUMZA KUHUSU KUIMARISHA USHIRIKIANO

Mkuu wa Taji wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, amekutana na Rais wa Baraza la Ulaya, Antonio Costa,...
spot_img

KESHO TUTACHEKWA PAMOJA NA KIKWETE

KILA ninaipoitazama Tanzania ya kesho ninawaona watoto wa watoto wetu wakitucheka kwa kushindwa kuiishi misingi ya utawala bora, kutofuata sheria za nchi, wanasiasa kuendekeza...

HISTORIA IANDIKWE UPYA SASA (1)

NI jambo la bahati mbaya sana kwamba wapo baadhi ya watu ambao husoma maandishi ya kichokonozi bila kuyaelewa na wapo pia wengine ambao husoma...

ANAKITWA ANAKITA KUJIKITA MZEE MIKITO

Simba Gembagu Ngw’ana Njamiti KUKITWA ni kukitwa na kukita ni kukita. Kukita na kukitwa sasa ni fasheni, mikito imekuwa sehemu ya maisha. Imekuwa kita nikukite, umekuwa...

NI MIKITO YA KASWIDA NA MAPAMBIO

Simba Gembagu Ngw’ana Njamiti MIKITO ni kukita na kukita ni kukitwa. Huo ndiyo mwenendo wetu watanzania wa zama hizi za bora liende. Kila mahali ni mikito,...

WANAKITA KIZULU, NINAKITA KISWANGLISH

Simba Gembagu Ngw’ana Njamiti NIMEKUTANA wa Wazulu, nimekutana nao nchini kwao huku bondeni kwa mzee Madiba. Lakini mzee Madiba anaumwa sana, tumuombee. Wazulu, kama walivyo waafrika...

NAPE ANAMKITA WARIOBA KUMBEMBELEZA KIKWETE

Simba Gembagu Ngw’ana Njamiti NAPE Moses Nnauye, mwanasiasa kijana aliyepachikwa jina la utani la Kitatange, katika ukitatange wake amekuwa akimkita kwa staili wa kumbembeleza bosi...
spot_img