SAFU MAALUM

FEISAL SALUM NA SIMULIZI YA KUHUZUNISHA: BABA YAKE HAJAWAHI KUMSHUHUDIA AKIWA UWANJANI

Feisal Salum Abdallah, maarufu kama Fei Toto, ni mmoja wa viungo bora wa soka nchini Tanzania. Alizaliwa tarehe 11 Januari 1998 visiwani Zanzibar na alianza safari yake ya soka...

BUGANDO WAFANYA UPASUAJI KUREKEBISHA SURA

Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando (BMC), kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Sweden na Afrika Kusini,...

KIGOMA YAFANYA UPIMAJI UTAYARI KUKABILIANA NA EBOLA

Serikali, kupitia Wizara ya Afya, imeendesha zoezi la kupima utayari wa wataalamu wa afya na sekta mbalimbali katika...

UKRAINE YASHAMBULIA BANDARI NA MIUNDOMBINU URUSI

‎Vita kati ya Ukraine na Urusi vimechukua sura mpya baada ya Ukraine kutekeleza shambulizi kubwa la droni usiku...

MOTO MKUBWA MWANZA

Huzuni imetanda miongoni mwa wafanyabiashara wa Mtaa wa Lumumba, jijini Mwanza, kufuatia ajali ya moto iliyozuka usiku wa...
spot_img

TUMEKOSEA HAPA, TUJISAHIHISHE

MCHOKONOZI MSALABA wa mema na mabaya katika Taifa letu kwa sasa upo mabegani mwa Raisi Samia Suluhu Hassan bila kujali mema na mabaya hayo yalipandikizwa lini,...

MNYETI KITANZINI RIPOTI YA TUME ASHTAKIWE MAHAKAMANI

RIPOTI MAALUMU (6) CHARLES MULLINDA TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora iliyochunguza tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka zilizomkabili Naibu Waziri wa Mifugo na...

SUKARI MCHANA, JINAMIZI LA TUHUMA ZA MPINA USIKU

MCHOKONOZI MOYO wangu umekaa upogo, fikra zangu zimeganda, mwili wangu umelegea, usingizi wangu umekuwa wa shida. Ninahisi kuitapika roho yangu. Mimi ni mpenzi wa kahawa iliyotiwa...

NONDO – MUSWADA WA SHERIA YA TUME YA UCHAGUZI – Tafsiri ya tabia mbaya anatoa nani?

ABDUL NONDO Miswada mitatu imesomwa kwa mara ya kwanza kwenye mkutano wa 13 wa bunge ulimalizika Novemba, 2023 Jijini Dodoma. Miswada hiyo ni wa sheria...

BANDARI, DP WORLD NA KISA CHA NYANI HAONI KUNDULE

MCHOKONOZI CHARLES MULLINDA KUNA ya vita ya manyani inayopiganwa sasa hapa nchini. Ni vita ya nyani kuchekana maumbile yao ya nyuma. Maumbile ya nyani hayatofautiani...

WAZIRI NAPE LIA NAO, CHEKA NAO, WAKIFA WAOMBOLEZEE

MCHOKONOZI CHARLES MULLINDA NAPE Moses Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ninakuandikia waraka huu wa Mchokonozi ili mioyo ya waandishi wa habari itakapokuwa...
spot_img