Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Almachius Mchunguzi, leo tarehe 10 Aprili 2026 amefanya kikao kazi na Polisi Kata kutoka wilaya zote za…
MKAGUZI wa Polisi wa Kata ya Picha ya Ndege, Halmashauri ya Mji Kibaha mkoani Pwani, Ibrahim Makaruti, ametoa elimu kwa wazazi kuhusu umuhimu wa malezi bora kwa watoto,…
Serikali imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha sekta ya fedha nchini ili iwe chachu ya maendeleo ya haraka ya kiuchumi, huku ikisisitiza upatikanaji wa huduma za kifedha kwa…
RIPOTA PANORAMA KAMANDA wa Polisi, Mkoa wa Katavi, SACP Kaster Ngonyani amethibitisha vifo vya watu watatu wa familia moja na wengine watatu kujeruhiwa kwa ajali ya moto iliyotokea…
MWANDISHI MAALUMU KARIKA historia ya maendeleo ya binadamu, afya na lishe zimekuwa nguzo kuu za ustawi wa jamii na taifa. Hali ya mtoto anapokua siyo kielelezo cha familia…
MWANDISHI MAALUMU KATIKA bajeti ya mwaka 2025/26, Serikali imetambulisha mpango wa kuimarisha mfumo wa afya unaolenga huduma bora za afya na lishe. Bajeti hiyo imejumuisha sera za kuongeza…
MAKALA YA MTANGAZAJI NIMEKUTANA na kufanya mahojiano ya ana kwa ana na Meneja wa Bandari ya Tanga, Masoud Athuman Mrisha kuhusu mwenendo wa shughuli za Bandari hiyo kwa…
Mabilioni ya fedha yaliyomwagwa na serikali kuiboresha kivifaa, mitambo na upanuzi wa magati, yameipa bandari ya Tanga, sura na uwezo mpya wa kibandari. Tanzania Panorama imefika bandarini hapo…
MAKALA YA MTANGAZAJI TANAPA Investiment Limited (TIL) ni jina geni kwenye orodha ya kampuni za uwekezaji na uzalishaji mali zinazomilikiwa na Mashirika ya Umma ambayo imefungua milango ya kukabiliana…
MAKALA MAALUMU NDOTO ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuongeza idadi ya watalii nchini hadi kufikia milioni tano ifikapo mwaka 2025 na pato la Taifa linalotokana na utalii…