TAKWIMU zinaongea! Hakuna bao lililofungwa katika dakika 45 za kwanza katika mechi zote tano za ‘Kariakoo Derby’ zilizochezwa hivi karibuni. ‘Derby’ iliyopita, ambayo ilikuwa ya fainali ya Kombe…
AMA hakika, hilo ndilo swali unaloweza kujiuliza kuelekea ‘Kariakoo Derby’ ya Jumapili ya wiki hii, Mei 3, 2026, itakayochezwa katika Uwanja wa Jenerali Isamuhyo, Mbweni jijini Dar es…
SIKIA hii! Simba itakuwa mwenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara itakayochezwa Jumapili ya wiki hii, Mei 3, 2026, katika Uwanja wa Jenerali Isamuhyo. Kuelekea mchezo…
EBWANA ee! Hebu sahau kidogo kile kilichotokea siku chache zilizopita katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, ambako Simba iiifunga Yanga bao 1-0 na kutwaa ubingwa wa Kombe…
UMEANZA kuwa ni utamaduni wa kawaida kwa mechi inayozikutanisha timu kubwa mbili hapa nchini, Simba na Yanga, kuchezeshwa na waamuzi kutoka nje ya nchi. Mwendelezo wake ulishuhudiwa hivi…
MADRID, HispaniaKOCHA wa Real Madrid, Jose Mourinho, amesema kwa sasa akili yake iko Benfica na si Real Madrid anayohusishwa nayo. Madrid inatajwa kumtaka Mourinho ili aiongoze timu hiyo…
LONDON, UingerezaKIUNGO wa zamani wa Chelsea, Emmanuel Petit, ameishauri klabu hiyo kumsajili mpachikaji mabao wa Galatasaray raia wa Nigeria, Victor Osimhen. Chelsea imekuwa haina bahati katika usajili wa…
MUNICH, UjerumaniMABOSI wa klabu ya Bayern Munich hawafikirii kumsajili mshambuliaji wa Manchester United anayecheza kwa mkopo Barcelona, Marcus Rashford. Rashford (28), amekuwa na kiwango bora katika siku za…
MADRID, HispaniaKWA sasa, Real Madrid inahusishwa na usajili wa beki wa kati katika dirish kubwa la kiangazi, mwishoni mwa msimu huu. Uhitaji huo unatokana na mwenendo wa kikosi…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza maelfu ya mashabiki wa soka kushuhudia mchezo wa fainali wa Ligi ya Muungano…