BAYERN HAINA MPANGO NA RASHFORD

Date:

Share post:

MUNICH, Ujerumani
MABOSI wa klabu ya Bayern Munich hawafikirii kumsajili mshambuliaji wa Manchester United anayecheza kwa mkopo Barcelona, Marcus Rashford.

Rashford (28), amekuwa na kiwango bora katika siku za hivi karibuni, ikielezwa kuwa Man United inataka kumrejesha kikosini kwa ajili ya msimu ujao.

Nyota huyo wa kimataifa wa England, amefunga mabao saba katika mechi 28 za La Liga msimu huu.

Barcelona wanapaswa kulipa Pauni milioni 26 ili kumsajili moja kwa moja lakini hawaonekani kuwa na mpango huo.

Bayern wamekuwa wakihusishwa naye kwa muda mrefu lakini taarifa mpya zinadai kuwa hawana mpango huo, na badala yake wanamtaka winga wa Newcastle United, Anthony Gordon.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

NAMIBIA YA MALIZA DENI LA IMF

Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, ameiongoza nchi yake kufikia hatua muhimu ya kiuchumi baada ya kukamilisha malipo yote...

SERIKALI KUONGEZA UWEKEZAJI KWA WAKUNGA KUIMARISHA AFYA YA MAMA NA MTOTO NCHINI

Serikali kupitia Wizara ya Afya imejipanga kuendelea kuongeza uwekezaji katika mafunzo, ajira, motisha na mazingira ya kazi kwa...

POLISI KUENDELEA KUDHIBITI WAZUSHI MITANDAONI, LIKIIMARISHA ULINZI KUELEKEA DERBY YA SIMBA NA YANGA

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa taarifa ya matukio mbalimbali ya kiusalama na kisheria,...

DKT. SAMIA AFANYA UTEUZI, UTENGUZI NA UHAMISHO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa baadhi...