Monday, 12 October 2026

Mkusanyiko wa habari

MICHEZO

MKONGWE WA MAN UNITED ATAKA CARRICK APEWE AJIRA

MANCHESTER, Uingereza LEJENDARI wa Manchester United, Gary Pallister, amesema haoni sababu ya mabosi wa klabu hiyo kutafuta kocha wa msimu ujao wakati Michael Carrick anatosha. Hata hivyo, Pallister…

ROMERO WA SPURS KUTIMKIA ATLETICO MADRID?

MADRID, Hispania KLABU ya Atletico Madrid ya La Liga inaiwania saini ya beki wa kati wa Tottenham na timu ya Taifa ya Argentina, Cristian Romero. Nyota huyo alipata…

TATIZO LA CHELSEA LIKO HAPA TU

LONDON, Uingereza MKONGWE wa Chelsea, Ruud Gullit, amesema changamoto kubwa inayomtesa kocha Liam Rosenior ni timu hiyo kuwa na wachezaji wasio na ukomavu. Kabla ya kuivaa Brighton katika…

EVRA: ARSENAL? ITAISHIA KUUSIKIA UBINGWA EPL

LONDON, UingerezaBEKI wa zamani wa Manchester United na timu ya Taifa ya Ufaransa, Patrice Evra, amesema Arsenal haina nafasi ya ubingwa msimu huu wa Ligi Kuu ya England…

‘WASAUZI’ WAINGILIA DILI LA NWABALI KUTUA SIMBA

Na mwandishi wetu MPANGO wa Simba kumsajili kipa wa timu ya Taifa ya Nigeria ‘Super Eagles’, Stanley Nwabali, umeifikia Kaizer Chiefs na sasa klabu hiyo ya Afrika Kusini…

FEDHA ZA KUMWAGA KOMBE LA DUNIA 2026

NYON, Uswis MSIMU wa 23 wa fainali za Kombe la Dunia uko njiani, ukitarajiwa kufanyika kwa mwezi mmoja kuanzia Juni, 2026. Ni fainali zitakazofanyika katika mataifa matatu (Marekani,…

MASTAA HAWA WATAKUWA HURU USAJILI WA KIANGAZI

LONDON, UingerezaBAADA ya Harry Maguire kusaini mkataba mpya Manchester United, beki huyo amejitoa kwenye orodha ya wachezaji watakaokuwa huru kuziacha klabu zao wakati wa usajili wa kiangazi, 2026.…

SOMA HIYO! ISRAEL NDIYO WAASISI WA MIKWAJU YA PENALTI

LONDON, Uingereza NI jioni ya Agosti 5, 1970 kwenye Uwanja wa Boothferry Park mjini Hull, Manchester United ikiwa ugenini dhidi ya Hull City na dakika za nyongeza za…

AMEJIPATA! LAMPARD ALIVYOREJEA EPL AKIWEKA REKODI

LONDON, Uingereza IKIWA ni miezi 18 tu imepita tangu alipoajiriwa, Frank Lampard ameiwezesha Coventry City kupanda daraja na kurejea Ligi Kuu ya England (EPL). Lampard aliyewahi kucheza na…

KIFO CHA BOSI KINAVYOITESA LEICESTER CITY

LONDON, UingerezaMIAKA 10 iliyopita, Leicester City waliishangaza dunia walipotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) mbele ya vigogo Manchester United, Arsenal, Chelsea, Liverpool na Manchester City. Kwa…