MUNICH, Ujerumani
JINA la Marie-Louise Eta limeandika historia katika soka la Ujerumani baada ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa kocha wa klabu ya Ligi Kuu (Bundesliga).
Eta mwenye umri wa miaka...
ZERUBABEL CHUMA
KIKOSI maalumu chenye askari 27 kutoka taasisi zinazounda Jeshi la Uhifadhi kimewadhibiti fisi waharibifu 25 waliokuwa wakihatarisha usalama wa wananchi wa Mkoa wa...
UKITAKA kuliona au kusali ndani ya Kanisa Katoliki la kihistoria lenye miaka zaidi ya 145 tangu lilipojengwa, nenda katalii kwenye makumbusho ya Dkt. David...
CHIFU Mtwa Mkwawa alilala kwenye jiwe kwa muda wa miaka minne, wakati akipigana vita vya msituni na wakoloni wa Kijerumani.
Jiwe hilo lipo kijiji cha...
GANGILONGA, neno la Kihehe, ni jina la jiwe; maana yake ni jiwe linaloongea. Jiwe la miujiza ambalo hapo zamani lilikuwa likiongea.
Jiwe la Gangilonga lipo Iringa...
MAKUMBUSHO ya Chifu Mtwa Mkwawa wa Kabila la Wahehe, iliyopo Kitongoji cha Wanji, Kijiji cha Kalenga, Kata ya Kalenga mkoani Iringa ina vivutio vingi...