Feisal Salum Abdallah, maarufu kama Fei Toto, ni mmoja wa viungo bora wa soka nchini Tanzania. Alizaliwa tarehe 11 Januari 1998 visiwani Zanzibar na alianza safari yake ya soka...
Hali imeendelea kuwa mbaya nchini Ghana kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.
Mafuriko hayo yameathiri makazi...
Rais wa Marekani, Donald Trump, anatarajiwa kufanya ziara nchini India mapema mwaka ujao, huku Marekani na India zikiendelea kuimarisha uhusiano wao wa kimkakati.Waziri wa...
Mfalme Felipe VI wa Hispania afanya ziara yake ya kwanza Mexico tangu mgogoro wa kidiplomasiaMfalme Felipe VI wa Hispania amekutana na Rais wa Mexico,...
Chuo Kikuu cha RUDN cha nchini Urusi, maarufu kama Patrice Lumumba kimemtunuku Rais Samia Suluhu Hassan Shahada ya Uzamivu ya Heshima (Honoris Causa) kwa...
Israel na Lebanon zimekubaliana kutekeleza makubaliano ya kusitisha mapigano, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, imeeleza kuwa...