URUSI YA SHAMBULIA MIJI YA UKRAINE
Takriban watu 10 wameuawa katika mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani ya Urusi dhidi ya mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, usiku wa kuamkia Alhamisi. Milipuko zaidi…
Mkusanyiko wa habari
Takriban watu 10 wameuawa katika mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani ya Urusi dhidi ya mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, usiku wa kuamkia Alhamisi. Milipuko zaidi…
Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amesema wakaguzi wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) hawataruhusiwa kuingia katika vituo vya nyuklia vya Iran vilivyoharibiwa…
Rais wa Marekani, Donald Trump, ameendelea kusisitiza msimamo wake kuhusu Mfereji wa Panama, akisema uamuzi wa Marekani kuukabidhi mfereji huo kwa Panama ulikuwa “kosa la kijinga” ambalo halikupaswa…
Marekani imeanza kuwapeleka baadhi ya wahamiaji katika taifa la Palau, nchi ndogo ya visiwa iliyoko katika Bahari ya Pasifiki. Hatua hiyo ni sehemu ya sera mpya ya Marekani…
Maelfu ya waandamanaji wamejitokeza katika maeneo mbalim bali nchini Afrika Kusini wakitaka serikali ichukue hatua kali dhidi ya wahamiaji wanaoishi nchini humo bila vibali halali. Maandamano hayo, yanayotajwa…
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameliagiza Jeshi la Israel kuongeza mashambulizi na kuharibu miundombinu yote ya kundi la Hezbollah katika eneo la kusini mwa Lebanon. Akiwa katika…
Mvua kubwa iliyoambatana na dhoruba kali imekumba eneo la Boise katika jimbo la Idaho, na kusababisha mafuriko makubwa baada ya mifumo ya kupitisha maji kushindwa kuhimili kiwango kikubwa…
Mfanyabiashara maarufu kutoka Ukraine alikuwa miongoni mwa watu watatu waliojeruhiwa baada ya kifurushi kinachoshukiwa kuwa na bomu kulipuka ndani ya jengo la makazi huko Monaco siku ya Jumatatu…
. Katika historia ya maendeleo ya sekta ya nishati Afrika Mashariki, kuna miradi michache yenye ukubwa na athari chanya zinazoweza kulinganishwa na Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika…
Filamu ya wasifu wa nguli wa muziki wa pop, Michael, imeendelea kuweka historia katika soko la filamu duniani baada ya kukusanya dola milioni 977.5 ndani ya kipindi kisichozidi…