Friday, 21 August 2026

Mkusanyiko wa habari

RIPOTI MAALUM

RIPOTI MAALUMU (3)

JINSI SERIKALI ILIVYOPORWA MALI ZA UMMA SKANDALI ya kuporwa kwa mali za umma kisha kutumiwa kuchukua mkopo wa mabilioni ya fedha kwenye Benki ya NBC; na Serikali kukiri…

HATUA 10 ZA NHC KUELEKEA UFANISI WA MALENGO 2022/2023

SHIRIKA la Nyumba na Taifa (NHC) limetangaza mwelekeo wa utekelezaji wa majukumu yake kwa mwaka 2022/23 utakaoliwezesha kuongeza mapato yake na kutoa huduma bora kwa umma ambao una…

RAIS SAMIA NA MTANZIKO WA KATIBA MPYA

CHARLES MULLINDA TAIFA lina kiu ya Katiba Mpya ambayo sasa kuna kila dalili kuwa, Rais Samia Suluhu Hassan atatanzua mtanziko wa upatikanaji wake. Dalili kuwa Rais Samia atatanzua…

JINSI SERIKALI ILIVYOPORWA MALI ZA UMMA (2)

RIPOTI MAALUMU (2) SKANDALI ya kuporwa kwa mali za umma kisha kutumiwa kuchukua mkopo wa mabilioni ya fedha kwenye Benki ya NBC; na Serikali kukiri kuwepo kwa skandali…


JINSI SERIKALI ILIVYOPORWA MALI ZA UMMA (1)

RIPOTI MAALUMU RIPOTA PANORAMA SKANDALI ya kuporwa kwa mali za umma kisha kutumiwa kuchukua mkopo wa mabilioni ya fedha kwenye Benki ya NBC; na Serikali kukiri kuwepo kwa…

TANROADS YATEKELEZA VIPAUMBELE VYA 2022/2023

KAZI ya utekelezaji wa vipaumbele na majukumu ya Wakala wa Barabara (TANROADS) kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 inaendelea kwa kasi kama ilivyoainishwa kwenye ilani ya uchaguzi ya…

NINI KINAKWAMISHA AMANI YA KUDUMU DRC?

ABBAS MWALIMU 0719 25 84 84 WANAJESHI wapatao 900 kutoka Kenya wapo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (Democratic Republic of Congo – DRC kwa ajili ya mapambano dhidi…

SYMBION MASWALI LUKUKI

RIPOTA PANORAMA SAKATA linalotokota chini kwa chini kwa muda mrefu sasa linalohusu Kampuni ya Symbion Power LLC kulipwa na Serikali, Shilingi bilioni 350 huku ikiwa na malimbikizo ya…