Michezo Kimataifa

MIAKA SITA YA MAPENZI, DAKIKA CHACHE ZA VIPIMO NA UAMUZI MGUMU ULIOFUTA NDOTO YA HARUSI

Kisa kinachosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii kuhusu wapenzi waliodumu kwenye uhusiano kwa miaka sita lakini wakaamua kuachana baada ya kugundua wote wana genotype AS kimezua mjadala mpana...

SANDRO TONALI ATIMKIA TOTTENHAM KWA UHAMISHO WA KUDUMU

Klabu ya Newcastle United imetangaza rasmi kuondoka kwa kiungo wa Italia, Sandro Tonali, ambaye amejiunga na Tottenham Hotspur...

LEO BAPTISTAO AONGEZA MKATABA WAKE UD ALMERÍA

Klabu ya UD Almería imethibitisha kuwa mshambuliaji wa Brazil, Leo Baptistao, ataendelea kuitumikia timu hiyo baada ya kuongeza...

SEBASTIÁN ARÉ AJIUNGA NA SANFRECCE HIROSHIMA KWA MKATABA WA KUDUMU

Klabu ya Sanfrecce Hiroshima ya Ligi Kuu ya Japan (J1 League) imetangaza rasmi usajili wa mshambuliaji Sebastián Aré...

ATLÉTICO MADRID YAMKARIBISHA DILI LA KING-IN LEE KWA EURO MILIONI 40

Klabu ya Atlético Madrid imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo mshambuliaji Kang-in Lee kutoka Paris Saint-Germain (PSG) katika dirisha...
spot_img

INTER NA SAFARI YA JASHO, DAMU HADI UBINGWA SERIE A

MILAN, ItaliaMSIMU uliopita haukuwa mzuri kwa Inter Milan baada ya kuambulia patupu katika mashindano yote matatu ya ndani. Safari hii, upepo umebadilika. Inter wametwaa ubingwa...

BAYER, PSG, ARSENAL, ATLETICO NANI KUTINGA FAINALI?

LONDON, Uingereza ARSENAL watakuwa Emirates kuwakaribisha Atletico Madrid, mchezo wa nusu fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya utakaochezwa leo Mei 5, 2026. Kesho, Bayern...

MAJERAHA YANAVYOMZUIA HAVERTZ KUWIKA ARSENAL

LONDON, Uingereza BALAA la majeraha lilianzia Februari, 2025, wakati Arsenal ilipokuwa Dubai. Kai Havertz alipata majeraha ya nyama za paja, akafanyiwa upasuaji uliomweka nje ya...

BRUNO AWEKA REKODI UNITED IKIRUDI UEFA

MANCHESTER, Uingereza BAADA ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Liverpool jana Mei 3, 2026, Manchester United imefuzu kushiriki michuano ya Shirikisho la Soka la...

RAIJNDERS WA CITY KUREJEA SERIAL A

MANCHESTER, Uingereza KIUNGO wa kimataifa wa Uholanzi, Tijjani Reijnders, huenda akaondoka Manchester City na kutimkia Ligi Kuu ya Italia (Serie A) mwishoni mwa msimu huu. Reijnders...

MADRID YAMPIGA ‘STOP’ ENDRICK

MADRID, Hispania KLABU ya Real Madrid haina mpango wa kumpiga bei mshambuliaji wake wa kati raia wa Brazil, Endrick, kwa mujibu wa mtandao wa TEAMtalk. Baada...
spot_img